
Jk akimsalimu na kumpongeza Mwanaidi Salum aliyejifungua mtoto wa kike muda mfupi baada ya Rais Kufungua kituo cha Afya Kisarawe, mkoa wa Pwani jana. Pembeni ya Rais ni Mganga mkuu wa wilaya ya Kisarawe Dr.Martha Kisanga. Jk yupo mkoani Pwani kwa ziara ya kikazi ya wiki moja ambapo mdau freddy maro wa ikulu anatuhabarisha kwa picha.


Kkwete ana mapenzi sana na watoto na jamii kwa ujumla ni mtu yuko simple sana ajikwezi
ReplyDeleteJamaa Poa sana huyu. Tatizo hana nguvu ya kuzuia UENEAJI WA RUSHWA TU.
ReplyDeleteNo cribs for neonates!!!! Maisha ya bongo ni tambarrrrarrrrreeee
ReplyDeleteHiyo rushwa inahitaji nguvu ya wote sio ya mtu mmoja, mtoaji na mpokeaji kwa rushwa ndogo, hata rushwa kubwa.
ReplyDeleteDawa ya rushwa ni kukataa kutoa, kupiga kelele u peke yake haisaidii.
Hongera Mheshimiwa Rais manake hata masikini nao wataonekana, kwani watumishi wa serikali wakisikia Mheshimiwa anakuja utaona wanavyochakarika kupaka rangi majengo, kukarabati barabara n.k kweli mgeni njoo mwenyeji apone.
Hiyo rushwa inahitaji nguvu ya wote sio ya mtu mmoja, mtoaji na mpokeaji kwa rushwa ndogo, hata rushwa kubwa.
ReplyDeleteDawa ya rushwa ni kukataa kutoa, kupiga kelele tu peke yake haisaidii.
Hongera Mheshimiwa Rais manake hata masikini nao wataonekana, kwani watumishi wa serikali wakisikia Mheshimiwa anakuja utaona wanavyochakarika kupaka rangi majengo, kukarabati barabara n.k kweli mgeni njoo mwenyeji apone.
Mtoto hachelewi kuitw Jakaya hapo. Ha ha haaaa.
ReplyDelete