Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. HAKUNA CHA WAJIBU BWANA KIPANYA. USIWACHOCHEE WATU WAKAGOMBANA BURE. MTU AKITAKA KUFA, HATA UTIMIZE WAJIBU WAKO KAMA MSHAURI NASAHA, HIZO NASAHA ZITAKUFAA WEWE NA SI YEYE. UKIMALIZA TU KUONGEA ANATTIMIZA WAJIBU WA KUJIUA. UPO HAPO?

    ReplyDelete
  2. Ni DAKTARI. Daktari ndiye mtu wa kwanza kumpa mgonjwa ushauri nasaha, kabla na baada ya kupima!

    Zaidi zaidi huko kwetu madaktari na manesi ndio watu wanaotoa siri za wagonjwa wao mitaani. Hivyo habari zinapoenea mgonjwa huchanganyikiwa hasa kutokana na unyanyapaa. Matokeo yake, aghalabu, ni kujitoa maisha!

    ReplyDelete
  3. Anasema kweli kipanya ....Serikali haijatimiza wajibu wake...Pima pima and then what????

    Hamna madactari au manurse walioandaliwa kwa kuwasaidia watu kisaikologia baada ya kupima.
    hao hao wanaokupima ndio haoa hao wanaopeleka mitaani habari zako.

    hammna sheria ya kuwashika watu wakitoa siri za mgonjwa nje

    Bado sana serikali haijawaeleza watu kuhusus huu ugonjwa...Jinsi ya kuambukiza bado watu wengi wanazania kutembea nje na kushare sindano....lakini jinsi tunavyoona hizi ajali za barabarani kila siku no protective gloves wala nini.

    ReplyDelete
  4. Wajibu upi? Kwani alipokuwa anakula uroda kuna aliyemtuma? Magonjwa mengine ni ya kujitakia wenyewe. Ni bora ameamua kujiondoa ili asiendelee kuambukiza. Alaaaaa!!

    ReplyDelete
  5. anony 8:28 you are very ignorant...unazania wote waliokufa na ukimwi wameupata kwa njia unayoifikiria wewe...safari ndefu tunayo bongo...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...