umaarufu wa mbuga ya wanyama ya serengeti sio simba na tembo ama wanyama wengine tu. hawa ndege nao hawavumi lakini wamo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Tatizo kila nikiona picha ya hawa ndege taswira inanijia ya demu mreefu mwembamba ambaye havutii kutokana na urefu wake.. sijui kwanini... nahitaji msaada kwa hili teso la kiakili naona..

    Nakubali kuwa hao ndege wazuri katika mazingira yoo asili. Tanzania yetu ni ya kujivunia kwa kweli... ila viongozi wake bwana... looh.. thubutu.. wachache tu ndiyo wapo..

    SteveD.

    ReplyDelete
  2. Mishusi hapari ya masiku nyingi. Hii pisha wametoa Ngorongoro sio serengeti kama file we nasema. Ulisa hiyo mutu fisuri itakuambia imeshadanganya wewe.

    ReplyDelete
  3. Nani huyo...miss Tanzania? mbona anapendeza bila chupi!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...