Home
Unlabelled
mdau wa manchester
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wewe Michuzi hiyo yellow katupe sasa mdau wa chelsea
ReplyDeleteDUH MSHKAJ MBONA KACHOKA HIVYO NA NAONA MGONGO WAKE UMEPINDA ...MAMBO YA MABOKSI NINI?
ReplyDeleteNajua hapo TCC Club watu walikuwa wananuka VIKWAPA na MIDOMO tu. Nashangaa huyo Mdau wa UK hakuingia na mask maana najua aliteseka na harufu kali za wabongo hapo ukumbini. Wala Vumbi mko wapi leo?
ReplyDeleteAnonymous hapo juu, hiyo ni kashifa, wahenga walisema `usitukane wakunga na uzazi ungalipo...'
ReplyDeleteHAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
ReplyDeleteMBEBA BOX PUNGUZA MUNKARI box utabeba sana sisi tambarareee unalo hilo.
Wewe subiri siku wakutimue huko nchi za watu haijalishi na makaratasi wala nini siku zali likikugeukia, utaikumbuka hiyo sentensi yako ya watu kunuka midomo na vikwapa. Usitukane wakunga!!! Na waswahili wanasema HUJAFA HUJAUMBIKA!!
ReplyDeleteYangu macho, sie mungu aliyetuona saa za jioni taabu kwelikweli, wale aliowaona tangu asubuhi huwasikii kuwakashifu watu.
mmama poda hiyo mbo kakosea rangi??? jamani black people msiweke poda za wazungu mnatisha nyuso.Kavaa vizuri lakini poda duuhhh katwanga hiyo
ReplyDeleteMdau unayezungumza kunuka kwapa kweli ukome,wewe ulikuwa ukinuka kwapa sana na unanuka hata sasa ughaibuni.Inaelekea huna elimu wala stara,hujafundwa mtoto ukafundika.Mbona na mimi nipo ughaibuni na nikienda bongo kila mwaka sikashfu watu kama wewe.Mbona hata wazungu wanuka kwapa ughaibuni??? usituletee kimbembe.Na wew popo hapo juu unayesema watu watarudishwa koma ukomae,kwani maisha si popote tu,aliyekuambia watu wanashida sasa na hawawezi kuishi bongo nani??? wivu utakuua.Walio ughaibuni hata wafagizi wa vyoo wana hela kupita wewe kubali yaishe.Remember is a the green baby.Wanaosevu hela kimaarifa kama ni bongo au ughaibuni,they always win the life game,so think before you shit.
ReplyDelete