
huko birmingham (ya marekani) kundi la mission band linaendeleza libeneke la muziki wa injili kwa kwenda mbele likiwa ni la wabongo watupu. kundi hili lina tovuti yake www.themissionband.org kwa habari zaidi na kama kuna maswali nenda admin@themissionband.org
NAOMBA KUULIZA SWALI LA UFAHAMU!
ReplyDeleteNimesumbuka kidogo kwenye ubongo wangu naomba wadau mnisaidie. Ni kuhusu suala la bidhaa "feki" huko Dar es Salaam zinavyoteketezwa? Naomba kujua, hii bidhaa ilivyopita bandarini TRA walitoza kodi, je, walivyoteketeza hiyo bidhaa kuna sheria ya yule mteja kurudishiwa ile kodi aliyotozwa bandarini?
Mimi nina imani wafanya biashara wengi hawana nia ya kutuuzia bidhaa "feki" ni kutokujua tu, Je! TBS inawasaidiaje hawa wafanyabiashara kutambua bidhaa "feki">
Suala lingine ni makampuni yanayotengeneza barabara, mbona barabara nyingi pia ni "feki" mbona TBS havunjivunji baada ya kuona ubora haukidhi mahitaji ya Mtanzania?
Ombi langu:
TBS hamieni kwenye barabara nyingi ni "feki" na huwa kuna kipindi cha garantii lakini RUSHWA ndio inafanya hao maafisa wanaosimamia hizo idara kutofuatilia makandarasi hao "feki". Sasa TBS fanyeni kazi yenu.
JAMANI WADAU WA DAR ES SALAAM.
ReplyDeleteKUNA KIPINDI JENGO KUBWA LILIVUNJWA HUKO DAR, LIMEMALIZIWA KUVUNJWA?