Home
Unlabelled
msewe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani, hiyo ngoma y msewe imenikumbusha mbali kweli kweli, wakati nikiwa mwanachama hai wa Red Cross kutokea shule ya sekondari kinondoni (muslim) mwishoni mwa miaka ya 90, niliwahi kujifunza kucheza, kuimba na mambo mengine kuhusiana na ngoma za utamaduni na ngoma hii ya msewe ilinivutia sana tena kuicheza na Kaka yangu mpendwa Haji Boha aliwahi kuniambia kuwa ninaweza sana kuicheza hii ngoma tena kwa ustadi mkubwa sana.
ReplyDeleteHivi sasa uko wapi Haji Boha???
yani hizo ngoma zetu za asili siku hizi imebaki kwenye sherehe za kitaifa na kupokea wageni uwanja wa ndege.
ReplyDeleteJamani zipeni msukumo unaostahili kama jitihada zinavyowekwa kwenye soka.
Hawa ndio wanenguaji wenyewe wa shoka wa kiasilia sio pekecha pekecha.Hawa wadada wananikumbusha wadada wamoja wa kurasini waliyokuwa na kikundi cha utamaduni cha shule ya st.Antonys mbagala Amina na Georgina Bwimbo.
ReplyDeleteAaaaahhhh!!!!! mdau unakumbuka mbali hivi group nzima (LIGHT SKIN MAMAS) kuna mtu anajua wako wapi WADADA WA ST.ANTONYS,THE QUEEN OF CONGO DANCE HERSELF AMINA BWIMBO,CAROLINE SEMKURUTO,GEORGINA BWIMBO,SHEMSIA JEGAME,HARIETH BANZI,MINIE KOMBA,ROKSANA KALENGO,HALIMA OMARI(MSOMALI),BILA KUSAHAU KAKA ZAO,FIKIRI NYENZI,ALEX NDOSSY,EMMANUEL NYOBA.IT WILL BE NICE TO HAVE REUNION WITH THESE BEAUTFUL PEOPLE OF ALL TIME.
ReplyDelete