Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. HIYO FLYER INASEMA MWANZA NIGHT, THEN WEWE UNAANDIKA MWANZA DAY!!!!!!

    ReplyDelete
  2. there's no Chagga tribe but just different groups of people living around that mountain of Kilimanjaro with the following characteristics:

    Wasiha:
    They are too backward. Hawakwenda shule bado wanavuta ugoro kama wamasai. Wanaume wanatahiriwa nusu!!! Cha achana nao.

    Wamachame:
    Huwezi kujua nani mwanamke na ni nani mwanaume. Kila kitu ni pesa. Yaani hata kama ni mkeo wa ndoa inakuwa hivi " kama hutoi pesa ya mbege ndoa yangu sikupi babangu" Basi kule Machame chakula cha ndoa au nimesemaje? Kufanya mapenzi ni kwa kipimo, ukiwa katikati mama amakwambia stoooooop! Hapo shilingi hamsini zako ndio zimekwisha, ukitaka ongeza ndio uendelee.


    Wakibosho:
    Specialized bandits. Akina Mama wakiwa wanatoa soga na mwenzie utawasikia hivi" Yaani Dadangu we acha tu yule Alex wangu siku hizi amepefuka kweli, ana akili we acha tu! Haibi tena mfukoni siku hisi ameunda kundi lake la ujambasi, Krisimasi hii lasima nitaletewa fitenge file fya Kongo. Ladies likewise AKIOLEWA NA KYASAKA baba na mama wanamwambia " hivi wewe huyu mwanaume kwani ni ndugu yako ? Leta hizo pesa sake tujengee huku kwetu Manka!!
    Wauru:
    Very boring people, wakikaa ni kuonge kuhusu shule tuuuuuuuuu, masomo, digrii Yaani yukanoti bilivu! Babu wa miaka 70 bado madaftari yake ya primary ameweka sandukuni!! Atawaonyesha wajukuu zake " Ona hand writing yangu ilivyokuwa nzuri wakati nafundishwa na Father Wilson Payatt. Wanakumbuka majina ya waalimu wao hasa wazungu tangu chekechea. Wanamwogopa sana Mungu. Kengele ya KANISANI ikilia saa sita utaona wazee wote kilabuni wanaamka na kusali sala ya mchana ndio wanaendelea kunywa mbege.

    WaOld Moshi:
    Actually Mama Mkapa ni beauty Queen kule kwao. Yaani mimi sisemi nenda kachague wewe mwenyewe. Wanaume niwabishi! Wanakunywa kisusio cha Nguruwe!! Na Gongo nyingiiiiiiiiiiiiiiiiii

    WaMarangu:
    Wanaume wote ni waongo. Actually kuna somo la "jinsi ya kudanganya" shule zote za primary kule Marangu. Both wanaume na Wanawake maisha ni raha tupu. Kwa Mmarangu halisi, kwanza ananunua gari, anachapa maisha, nae kulala kwenye gari wakati kodi ya nyumba inamshinda ni jambo la kawaida.

    Warombo:
    Kazi mtindo mmoja! Wanawake tunawaita "KUBOTA" aina ya matrekta waliyosambazwa Kilimanjaro na Wajapani. Watafutaji wa pesa!!!! We acha tu. Lakini ukimchezea anakuua na kukimbilia Kenya

    ReplyDelete
  3. Thursday, November 29, 2007 - Kagera Day ni balaa

    Uchangiaji fedha katika siku ya Kagera day ni vituko tupu. Kiasi cha shilingi Bilioni 1.4 zilichangwa mbele ya Lowasa ikiwa nipamoja na zawadi.

    Prof. Rweikiza wa Marekani- Sh. milioni 500
    Prof.Rutashobya wa Chuo kikuu cha Havard-Milioni 400
    Prof. Rweyimamu wa Afrika Kusini hakuweza kuja leo lakini ametuma hundi ya USD 200,000
    Prof Rwabuyongo wa Ufaransa ametoa Sh. millioni 200
    Prof. Rwebangira yeye amemtuma mkewe Kokushubira na yupo hapa na Cash. Milioni 150,000 amechelewa ndege ifwakti akitokea kutoa matibabu Canada kwa mgonjwa anaye mhudumia huko.
    Prof. Kokubenza ambaye nimewasiliana naye kwa simu na amedai kuwa ameshikwa na mafua amesema hakuna tatizo tumtume mtu aende London akachuklue Milioni 450.
    Dk. Kagirwa huyu alikuwa Mzumbe miaka ya 90 lakini sasa yupo chuo Kikuu cha Oxford amesema atatoa milioni 300.
    Dk. Muganyizi ametoa milioni 200.
    Dk. Mchunguzi ambaye sasa anamalizia Reseach yake ili aupate Uprofesa amesema yeye na mkewe ambaye ametunukiwa PhD juzi hapo mlimani pamoja na mtoto wao Rwechungura atatoa milioni 200.
    Wengine wengi kama akina Katabazi, Kavodago, Kaceritale, Kazenitalema, Katalyeba na akina Kokushuma wao wametoa kiasi kidogo na wao wamekaa kule nyuma hata hatukuona haja ya kukupa mkono kwa kuwa wametoa casha milioni kati ya 50 na 90. Pia mheshimiwa hawa nikuwa wana Masters tu ndo hata tumeona elimu bado ndogo sio sawa na akina Rwegasira.

    ReplyDelete
  4. UKABILA...

    ReplyDelete
  5. Hivi huyo Boss wa IMALASEKO... mbona yupo ktk Hotel moja hapa jijini inayomilikiwa na X-1st lady pale Ilala halafu anatafutwa kwa ile ajali ya Nyamageni...

    ReplyDelete
  6. UMESEMA UKWELI....HUU NI UKABILA...UGONJWA UMEANZA TARATIBU...UKISHIKA KASI....TUMEKWISHA!

    ReplyDelete
  7. Watanzania - you need to make room for homor appreciation!! Hizo entries mbili hapo juu zimeniacha hoi. Very very funny!! Laugh it off fellows, just do it!!!

    ReplyDelete
  8. By the way I meant to say "Humor" au kwa wale wa Ukerewe "Humour" Watanzania inabidi tuache kuwa uptight. Chekeni, Jicheke mwenyewe sometimes, it lightens the birden of life guys. Don't take things too seriously, try it, I can assure you it will change you for the better!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...