mdau wa newala (sio ukerewe kama nlivyotaja awali, kunradhi) nathan yupo bongo kwa muda akitokea malawi kwenye mazishi ya baba yake hayati mzee chinyama chiume aliyezikwa kwa heshima zote za kitaifa na serikali. nathan anatoa shukurani sana kwa wadau wote walioshiriki kwa hali na mali katika kufanikisha usafirishaji na hatimaye mazishi ya baba yetu mpendwa.
nenda http://www.kanyamachiume.com/ kwa habari na picha zaidi. usiku huu kuanzia saa mbili nathan atakuwa katika kipindi cha mahojiano cha jenerali on monday katika tv ya channel 10
I thought Nathan anaishi Newala ( New York) na sio Ukererewe (UK) kama brother michuzi ulivyoandika hapo juu.
ReplyDeletePole sana mazee na msiba !
He is handsome, na amejazia kifua kizuri cha kudekea, hehehe.
ReplyDeletehuyu mwamba lazima atakuwa anapiga chuma. Pole kwa msiba wa mshua
ReplyDeleteJamaa kichwa chake kimetulia. Nimemwona anavyojieleza kwa ufasaha wakati anahojiwa na Jeneral kwenye chaneli 10 kwa kiswahili bila kuchanganya na hizo lugha zenu za huko sijui wapi sijui. Anajua historia vizuri na hata sisi amba Englishi is noti richabo hatukubabaika: O'C - Sinza
ReplyDeletesafi sana, sio ukiwa majuu unarudi na "mimba" watu wanafakamia burger, bbq kama ndo mwisho wa dunia! keep it up Nathan, u look healthy.
ReplyDeleteI'm proud of you Nathan. Good job.
ReplyDeletepole sana kaka kwa msiba
ReplyDeletendiyo dunia hivyo, sote tunaelekea huko huko
lakini mzuri wewe
na huo mwili loh !!!
I wish ungekua jirani yangu
sorry I had to there
mwanadada nje ya nchi
Yaani wewe kaka ni mzuri mpaka udenda unanitoka!!!!! mpaka nimesahau kama umefiwa pole sana sasa wewe unakaa newala ya wapi ni mimi niko newala na wish ningekuona japo kwa coffee outing.
ReplyDeleteSenatorrrrrrrrrrrrrrr.....miss you!
ReplyDeleteI'm proud of you.
Hey Buddy!...Pole sana aisee!
ReplyDeleteI see una represent hehehehe!...I have to contact out buddy in Germany aone mambo yako aisee.
Hope to see you soon!...Gimme a Buzz me when you get back
Na nyinyi wabongo si jui mumelipwa kiasi gani...SERIOUSLY you can hardly see sura yake...how can you deter his handsomeness....
ReplyDeletehey Nate, proud of you. keep doing your thing. i see you are driving the girls crazy. you know who this is (shake well before use...lol) miss you
ReplyDeletewatu mawazo yao ni chini tu...mwenzenu kafiwa badala ya kumpa pole manleta mengine...brother ushauri wa "shake well before use" ni wa maana sana...take care
ReplyDeleteNaona tu kina dada mmeshaanza fujo? hicho kifua kina mwenyewe na mwenyewe ndio mie! na sitaki kushare!
ReplyDelete