wadau walikuwa nyomi kwenye uzinduzi wa albamu ya 'mtaa wa kwanza' ambayo ni ya 9 ya twanga pepeta usiku huu ukumbi wa diamond jubilei

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Dah! hawa jamaa si mchezo kwani mambo walyoyafanya jana siyo ya kawaida. Kwa kweli hawa ni wasanii waliobebea kimuziki na kivitendo katika ubunifu.Kuitwa Taifa Stars(National team) ni sawa kabisa. Big up kwa namna zote tatu ya jinsi walivyingia ukumbini Diamond, Kuanzia yale Mapikipiki na kumalizia na gari ya aina ya Hammer aliyoingia nayo Choki mzee wa farasi. Siajabu ukisikia wakianza kumwita Mzee wa Hammer.

    ReplyDelete
  2. Duuh! eti bongo TAMBARARE mbona watu wamechoka hivi?

    ReplyDelete
  3. Hu ndo muziki bwana...sio mambo ya Karaoke (playback) unachezwa baa na walevi. Twanga kazeni buti wazee mutangaze muziki wetu wa asili. Twanga na TZ Oyeee, Playback na Karaoke Ziiiiiiii!

    ReplyDelete
  4. Fumbo fumbia mjinga mwerevu kwisha tambua. Kuwa muwazi sasa ili tusiojua tujue. Ni nani hao wanao copy?. Una maana Wenge Academia au? Wenge Musica? Au ulikuwa unaamanisha kina nani hao?

    ReplyDelete
  5. Ata mkitoa mafumbo, ni kazi bure. Dunia ya leo lazima tukubali ukweli. Mziki unaopigwa na Ngwasuma ni noma. Twanga bado sana. Maana ata wazee wa pekechapekecha wako juu sana kwa twanga.
    Ngwasuma huwezi ukakaa kama walivyokaa jamaa hao vitini. Muda wote unacheza

    ReplyDelete
  6. acha ushamba wewe ndiyo maana ukaambiwa ni huo ulikuwa ni uzinduzi, inategemea picha imepigwa wakati gani,

    ReplyDelete
  7. hao ngwasuma hawana lolote ni swala la kusubiri muda ukiwadia watakuwa hawana lolote, kwani jamaa nimegundua siyo wabunifu, kazi yao wana copy kazi za watu sikatai kuangalia wenzako wanafanya nini nakujaribu kuchua "Idea" toka sehemu nyingine nakuzifanyia utundu na zikaonekana nyingine kabisa lakini wao tena bila haya wanacopy wenge musica ya JB MPIANA bila haya.

    ReplyDelete
  8. Katika dunia ya kushindana mtu inabidi uangalie mwenzako anafanya nini ili umzidi kete, si ndio?

    FM Musica "Academia" pamoja na Pekecha-pekecha wako juu sana ya Mpiana hata na Werason. Usibishe tu kwa kutaka kubisha, sikiliza mapigo ya Werason ama Mpiana then linganisha na hawa jamaa, utaona ukweli.

    Twanga kete iliwakubali miaka ya nyuma, lakini bado wao wamekalia tu palepale, baada ya kutafuta ufumbuzi nini wafanye waliteke soko huria, wao wanaleta chuki kwa hizi bendi, huu si ushindani bali ni u-alosto tu na ujinga. Kwa kifupi hawana jipya.

    We angalia ndugu zao Chipolopolo wanavyopiga muziki wa uhakika. Twanga kuweni wabunifu nanyi, la sivyo mtauza njugu hivi karibuni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...