mdau nasibu mwanukuzi a.k.a. ras nas anayeishi uswidi kaanzisha tovuti ya kusaidia maendeleo ya muziki wa kiafrika na mashairi. mcheki mkongwe huyu kupitia hapa http://www.kongoi.com/ na mimi nachukua nafasi hii kumshukuru sana ras nas kwa kunipa shavu kwenye tovuti hiyo maridhawa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. nani huyo...samora machel?

    ReplyDelete
  2. Aah! Sasa weye vipi? Kwani kila mtu mwenye madevu anaitwa Samora? Wakongo walishasema "Motonioso mandevu na mandevu, Mokolo nani?" Upo hapo? Huyo jamaa ni mbongo fulani hivi anayefanya kazi za usanii ughaibuni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...