Home
Unlabelled
RICHA PWAA!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
KAKA MICHUZI UMEANDIKA KIUSHABIKI KAKA
ReplyDelete"RICHA PWAAA" MAANA YAKE NINI HAJABWAGWA ILA HAKUSHINDA!!!
Haki ya nani mimi nilijua tu awezi kufika hata round ya pili mara ngapi michuzi nilikuwa nakuandikia hapa sasa mmeona ungeweka kushindia 500$ watu tungeshinda angekuwa ameenda Victoria tungekuwa tunaongelea mengine sasa angefika hata 10 bora anyway ndio hivyo mtu emeshindwa MISS EARTH halafu unampeleka MISS WORLD sasa kweli jibu litakuwa nini PWAAAAAAAAAAA
ReplyDeleteOoooohh michu !!!!
ReplyDeletemie sisemi kitu jamani nasubiri tu watu waweke comments
michuzi umeshatumbua jipu hivyo
ola laaaa
wale wote wasiompenda Richa anzeni basi.
cant wait to read your comments
ONENI SASA NYIE MLIKUA MNACHOIOONGA SANA KIJANA WETU RICHARD ALIPOSHINDWA UZALENDO KWA MUANGOLA TATIANA..WAANGOLA WAMETULIA WAJAMENI..WANAKUA KAMA DADA ZANGU WA KISEKUMA MWANAWANE..NGOJA NA MIMI NIBEBE MABOX WEEKEND HII NIENDE ANGOLA SI UNAJUA MABOX WEEKEND YANALIPA MARA MBILI
ReplyDeleteroho yangu imeridhika , maana hakustahili hata kwenye umiss upanga tu
ReplyDeleteBongo, mnababaikia umiss. Leo nimeangalia news network zote hapa Marekani hamna hata moja inaongelea Miss World. Huo ni upumbavu tu, waafrica tunapenda wanawake wanene, sio vifimbo. Ndio maana neno "booty" limeanzishwa na Wamarekani weusi.
ReplyDeletehaikuwa riziki yake...she's pretty and i believe she's Tanzanian bila wasiwasi wowote.. asante Michuzi kwa updates...
ReplyDeleteHuyo mchina ameshinda kivipi?
ReplyDeletePicha yake inaonekana kama porn star!!
Richa, she cute and beautiful but one things is that she dont't look like present Bongo its does means racial card, the world there different model say that you where you 'can chose or look by the colour' so its stereo type and same time really life we doing things according to the our belived or we see things so Judge...sori Richa, my self are put you in top more than gal who won the miss bongo before but we let down in the first place, we should support you for every things but we put down, that is life,you needs to move on.... for the ppl who chose the Miss Bongo next time make sure you chose someone look like bongo for really.....and she have to be cute and beautiful like Richa but the colour is the problems every way ...all over the world..whatever you belived me or not..even in the bongo......the only things about bongo we belived that every things is right even if is the wrong.... we belived for ppl who driving us in the wrong way beacuse we fear..to tell then the truth...one dayz will should be freeeeeeeee... plz Michu mambo ya siasi na umbea kwenye blog tunaomba watu wawache kabisa au usipost msg zao....by stranger personal
ReplyDeleteRicha, she cute and beautiful but one things is that she dont't look like present Bongo its does means racial card, the world there different model say that you where you 'can chose or look by the colour' so its stereo type and same time really life we doing things according to the our belived or we see things so Judge...sori Richa, my self are put you in top more than gal who won the miss bongo before but we let down in the first place, we should support you for every things but we put down, that is life,you needs to move on.... for the ppl who chose the Miss Bongo next time make sure you chose someone look like bongo for really.....and she have to be cute and beautiful like Richa but the colour is the problems every way ...all over the world..whatever you belived me or not..even in the bongo......the only things about bongo we belived that every things is right even if is the wrong.... we belived for ppl who driving us in the wrong way beacuse we fear..to tell then the truth...one dayz will should be freeeeeeeee... plz Michu mambo ya siasi na umbea kwenye blog tunaomba watu wawache kabisa au usipost msg zao....by stranger personal
ReplyDeletePole sana Richa, usikate tamaa siyo wewe toka TZ uliyeshindwa.
ReplyDeleteMzee wa TBS
Jamani Angola ni bomba sana! Alishindana na Flaviana Matata huko miss universe! Flaviana alikuwa wa 6, Angola wa 7!
ReplyDeleteLakini mwaka huu Richa hakuwa na bahati kulikuwa na warembo wengi wenye asili ya kihindi: Malaysia, Trinidad and Tobago na wote wawili wameingia top 16! Trindad and Tobago ni top 5! India hajaingia pamoja na Tanzania na Mauritius ambao nao wana asili ya kihindi!
Jamani tusijali sana, mwakani! Ni mashindano - kuna kushinda na kushindwa!
Michuzi, naenda nje ya point kidogo, NAOMBA KUTOA PONGEZI
ReplyDeleteHongera Bibie Faraja Kota kwa kutunza heshima yako na kupata mume, Hongera Mhe. Lazaro Mbunge wa Singida kwa kufunga ndoa na Bibi Faraja Kota Miss Tanzania wa miaka ya nyuma. Hongereni sana!!
Tunaomba picha jamani Michuzi najua umepata tenda ya kupiga hizo pics
Nimesoma hapo chini hio ni sehemu tu ya article toka alasiri na nikajiuliza..Je waandaaji wamechemsha au wabongo hatuna ushirikiano? ua wabaguzi?
ReplyDelete"Aidha, mbali na mataji hayo yanayotajwa kuwa na pointi muhimu za kumuwezesha mshiriki kufanya vyema, vilevile kuna taarifa nyingine zisizokuwa njema kwa Watanzania kibao wanaomsapoti Richa.
Taarifa hizo zilizothibitishwa na maneno aliyonukuliwa gazetini Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga, zinaeleza kuwa mikanda ya Richa iliyopaswa kutumwa kwa majaji mapema ili itazamwe na kumpa pointi mbongo huyo kama ilivyo kwa warembo wengine, imechelewa kufika."
SOURCE: Alasiri
Bora! Na hii ndio iwe mara ya kwanza na ya mwisho kuwapa ushindi watu ambao hawataki kujichanganya na Watanzania. Wahindi tunajua fika kwamba pamoja na kuishi Tanzania miaka chungu nzima lakini bado wamejitenga wao wao tu na hawana ushirikiano wowote na weusi. Sasa tutapumzika maana angeshinda ingekuwa taabu tupu mjini wahindi wangesuuza midomo yao kwa sana tu. Next topic Michuzi, hii ya Rachia imeshachoka na kupitwa na wakati.
ReplyDeletekwani hukujua au misifa yakoo,unafikiri kila mtu mpumbavu sio,mwanaume ulikua ukijitia mineno kibao kama wewe ni perfect. mi nilicomment hapa miss India can win but not Miss India Tanzania,hivi ushawaona weye wasichana wa kihindi wanaoshiriki haya mashindano.wenzio wakati wanalalama bora mweusi angeenda unajititi lol lol ubaguzi.hivi wewe chinga wa wapi,huna msimamo .Unasema pwaa unachokoa watu tuoshe vinywa vyetuuu,wewe wewe haya tu.michu uitoe hii comment usiitoe message delivered.
ReplyDeletemlishapewa comments jana na mtu akawapeni POLE,akatabiri kuwa Richa hatoshinda, na ndio hivi imekuwa, msishangae kitu, wengi walijua, unadhania majaji hawana akili nzuri..hemu tazama hizi picha zako 4 mpe mtoto wa miaka 5 aseme yupi hafai hapa, atakuonyeshea huyu mhindi msukuma wetu huyu...TENA NASIKIA RICHA KABWAGWA PWAA VIBAYA HAKUNA KITU AMEFANIKIWA KUWEMO HATA 20BORA...LOL!!!!!na mtoto wa Mandela alikuwepo kama Jaji, nahisi amejichekea moyoni, akaona du kumbe wenye mtindio wa ubongo sio wa south tu hata wa Tz, mana wote wamepeleka watu weupe ati, wakidhania inasaidia, HAISAIDII, INACHEKESHA TU...haya na arudi mkampokee airport, mana ndo kawaida YENU.
ReplyDeleteKUJITETEAZZZZZZZZ
ReplyDeleteTaarifa hizo zilizothibitishwa na maneno aliyonukuliwa gazetini Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga, zinaeleza kuwa mikanda ya Richa iliyopaswa kutumwa kwa majaji mapema ili itazamwe na kumpa pointi mbongo huyo kama ilivyo kwa warembo wengine, imechelewa kufika.
hahaha..LOL!!!http://www.ippmedia.com/ipp/alasiri/2007/12/01/103447.html
Michuzi
ReplyDeleteNimesoma kwenye mtandao mmoja mtu amesema, "nimepokea kushindwa huku kwa kishindo"
No comments
gud
Brother Michu usijali sana hili tulilitegemea,na baaado Maximo nae aachiwe achague peeke yake timu ya Taifa uone tutakavyovurunda na hiyo SA 2010 tutaishia kushangilia mataifa mengine ya Afrika!Alaumiwe Lundenga na swaiba wake Patel ndo wamelilileta hili,jaribu kurecall wao walimkataa Nancy ule mwaka mpaka timu nzima ya majaji walipokaa kama kamati kuwalazimisha ndo wakamkubali Nancy walitaka mtu wao kama walivyofanya kwa Richa this time,Lundenga kifua mbele kwenye vyombo vya habari kumkandya kwamba ooohoo hatafika popote lakini yeye ndo aliibuka Miss World Africa!Tuache upendeleo kutafute wanaostahili, huyu Ponjoro tulijua hafiki mbali kwa waona mbali kama sisi hata mlingotini kwa babu tulikwenda kuuliza akatwambia "wajukuu zangu maoni yenu ni sahihi kabisa"!Tutampokea pale eapoti wabongo si tumzoea kupokea watalii a.k.a wasindikizaji!Jamani Wabongo tujifunze Mashindano yana rehearsal lakini sisi tuanataka rehearsal tukafanyie kwenye mpambano wenyewe!Ni wakati wakua serious na kwenda kushinda tu na si kubahatisha au kuwa wasindikizaji kila mwaka!
ReplyDeleteTulijua mapema, mijitu mibishi kama nini!
ReplyDeleteMiss world inayofuatia chukueni hawa wachina waliozagaa zagaa Kariakoo, wanaweza kuchukua na kuliinua taifa letu!
ReplyDeleteHivi mlivyochagua huyu muhindi mlikuwa mnafikiria nini??? Au uhindi wake ndio uliwapendeza? Au mambo ya chini yalikuwa soo! Acheni ulimbukeni, muangalie miss Angola. Jifunzeni!! Machozi ya Hoyce hayakuwa ya bure
Pole dada Richa Adhia!
ReplyDeleteOhh jamani mwakilishi wa India Richa kapigwa chini!!!!!!!!!! Sasa naona watanzania ndo tutajifunza kwamba tusipowapeleka wazawa kwenye mashindano ya kuliwakilisha taifa tutaendelea kuwa kichwa cha mwenda wazimu
ReplyDeleteNa akome huyo mhindi wenu
ReplyDeletebila shaka radhia alijitahidi sana lakini mwishowe akaangushwana miss china,angol, na mexico. pole sana just come back home soon we miss u....bila shaka miss china ni bomba sana...
ReplyDeletekasera
kc,ks
Mh nimempenda huyo miss Angola!! sio siri alistahili kushinda nahisi wamembania tu alitakiwa awe ndo miss world 2007.
ReplyDeleteOoh Richa pole sana ndo mashindano hayo kuna kushinda au kushindwa. Ila watanzania hawatashangaa kwani walitarajia hayo matokeo toka mwanzo.
Wa waa Miss Angola na kumaind sanaaaaaaaaaaaaa!!!
Mh nimempenda huyo miss Angola!! sio siri alistahili kushinda nahisi wamembania tu alitakiwa awe ndo miss world 2007.
ReplyDeleteOoh Richa pole sana ndo mashindano hayo kuna kushinda au kushindwa. Ila watanzania hawatashangaa kwani walitarajia hayo matokeo toka mwanzo.
Wa waa Miss Angola na kumaind sanaaaaaaaaaaaaa!!!
dah, sa hapo waosha vinywa ndo wamepata upele wa kuukuna!!! ngoja cc wakina Richa supporters tunyamaze kimya wakichoka kubwatuka watalala. (hili nalo litapita)
ReplyDeleteMi nilijua tu huyo atashindwa kabisa! kwani walifikiri huo uhindi wake utafanye ashinde! wameacha wanawake warembo wakali wa kitanzania, wanamchukua yeye. so whats up with that!!
ReplyDeleteLaana hutoka kwa Mungu kupitia VINYWA VYA Wanadamu.
ReplyDeleteJamani watu walilalamika, watu walilia (mpaka mamiss wenzake waliopita)! watu walitukana, watu walitema mate, watu walieleza mpaka blogu zikawa zinabloku automtomatikali comentiz zilizomuhusu huyu binti mrembo maana nafikiri ilifikia kiwango cha juu kabisa cha 'ova blogingi'.
ISSUE HAIKUWA UBAGUZI WA WATOA COMMENTS BALI UBAGUZI NA INFERIORITY COMPLEX YA MAJAJI WA MISS TZ 2007 NA HUENDA HATA SIKU ZA NYUMA!.
SULUHISHO:
IWE KAMA TFF na vyama vingine vya starehe na utamaduni, hata huyo jamaa sijui Lundenga?? naye agombee tuone kama atakuwa anachaguliwa kila mara mpaka kifo chake. Maana hata Nyerere tulimpenda lakini aliamua kung'atuka kuachia wengine! Sasa ni nani ameandikiwa kuwa Mugabe au wakati ule Kamuzu Banda wa himaya ya Ulimbwende TZ?
Kaka Michu sina sababu ya kukwambia usinibanie maana hujawahi kunifanya hivyo.
Obwatasyo Impokochole
Mzee Lundenga na wewe umechangia DVD ukazipeleke London badala ya China si mambo ya kihuni hayo? Nafasi ya muAngola ilikuwa yake jamani..ti ti tiiii
ReplyDeletenilijua mtoto wa kihindi atachemsha, sasa atarudi india au bongo?
ReplyDeleteJAMANI KAMA KUNA MTU ANA NAMBA YA SIMU YA HUYO MISS ANGOLA NAOMBA MSAADA TAFHADHALI,
ReplyDeleteMimi msimamo wangu ule ule huyu demu lazima nioe, nasubiri atue tu Dar. Ila huyu wa Mexico kiboko.
ReplyDeletepole sana richa.....there is always next time.... one day yes
ReplyDeleteJamani Richa, sisi wengine tulikupenda, na kukutetea lakini sasa acha visingizio!
ReplyDeleteKutopelekewa DVD isiwe sababu ya wewe kuanguka. Miss Angola hakuwa na DVD! Hata miss Sweden aliyeingia 5 bora hakuwa na DVD alipeleka picha na newspaper clipping! Hivi mliona kazi za kijamii walizofanya wale walioingia 5 bora? Zilikuwa zimeandaliwa na zina mikakati, kama Jamaika alisaidia watu walioathirika na hurricane, aliwaliwaza, akawachangisha wananchi kupitia fashion show, alafu akawakabidhi na wakaenda kujenga nyumba zao! Sasa Richa wetu kaenda kila mahali bila strategy! Mara ukimwi, mara matende na mengine. Jamani akubali kushindwa. Angola ni bomba saaana! Ghana na ubantu wake na booty lake kaingia top 16! Kutokana na talent! Alafu tulisoma kwenye magzeti eti Richa atia fora kwenye talent! Mmh!
Richa ukirudi sema, "Bahati mbaya, nilijitahidi lakini sikufanikiwa" Tutakubali, kwani ni kawaida for Miss Tanzania!
Mhindi ku-present wabantu, ni very confusing kwa kweli, simlaumu Richa sio utani. richa hafanani na kitu chochote cha kibantu, sasa leo hii kwenda mbele ya dunia kuwakilisha wabantu, si kuwatukana watu tu.
ReplyDeleteMaana kupelekwa kwa Richa huko kwenye mashindano ni ulimbukeni wa kamati ya miss Tz kwani wanafikiria kwa akili zao finyu kuwa Richa is a white look alike, kwa hiyo ana chances.
Poleni wajinga nyie prejudice wa race yenu.
Mbona Angola wamefanikiwa sana tu, na msichana ni black.
Mna kazi kubwa mbele yenu.
Faraja kaolewa na Mh Lazaro??? baaada ya rumours kibao kwenye tabloid mag...inakuwaje hawa mabinti wanapenda maprezidaaa??? maana Hoyce nae kajitoa muhanga kwa kibabu flani....tetetetteeee
ReplyDeleteHuyo Richa tumsubiri aje kutembelea maskani za watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu then wadau waanze kujirusha, maana hawana dili zaidi ya hizo...vinyama vya kidosi mwanawane
DUH ANGOLA KWELI KUNA VIFAA - NDIO MAANA BIG BROTHER WETU UZALENDO ULIMSHINDA
ReplyDeleteRicha naye mchemfu tu. Eti hometown kaandika "Kariakoo" badala ya "Dar es Salaam".
Check http://en.wikipedia.org/wiki/Miss_World_2007
Fungua hiyo link halafu click "Control + F" kisha search for Tanzania. Utakuta kwenye jedwali kasema hometown Kariakoo, halafu sehemu nyingine chini katajwa kuwa alishashiriki Miss Earth 2006 (kumbe nao walimshtukia kuwa ana-resiti). Ukiondoa sehemu hizo mbili jina la Tanzania halionekani tena. Yaani Richa kaaibisha sana yaani jina la Tanzania mwaka huu halipo kabisa. Ni zii kila sehemu.
Wahindi ni washenzi tu
ReplyDeleteKwanza kabisa siku ya shindano la Miss Tanzania 2007 (hilo lilimtoa Richa) wakati wa washiriki kuchagua vikaratasi vya maswali ya majaji ilipofika zamu ya Richa kikopo cha maswali kikaondolewa halafu kikarudishwa tena ndio Richa akachagua.
Kwa hiyo show yote ilikuwa kiini macho tu na utapeli wa hali ya juu (just imagine watu walitozwa Tshs 75,000/- kushabikia kiini macho). No wonder dada Hoyce aliangusha chozi kwa kushindwa kuvumilia dhihaka ya hali ya juu iliyofanywa na kina Lundenga na hao maponjoro wake.
Yeye alidhani ameshinda eeh? Kama hako kagari kagari kalikotolewa na wahindi wa Shivacom ndio alokokuwa analilia basi abarikiwe. Lakini kamwe asingeweza kushinda huko ugenini China wakati amedhihaki umma wa watanzania huku nyumbani.
Jamani sauti ya wengi ni sauti ya Mungu. Mfano mzuri ni Nancy Sumari ambaye licha ya Lundenga na kakamati kake kaubabaishaji kutaka kumnyima Taji la Miss Tanzania 2006 watu waliingilia kati akapewa, na kwa sababu ya mkono wa heri aliopata toka nyumbani alikwenda mashindanoni na kuliweka jina la Tanzania hatua moja juu toka alipoliacha Hoyce.
Hoyce, Maria Sarungi na wadau wengine ambao mmeonesha upeo mzuri wa kuratibu mashindano kama haya naomba msikate tamaa endelezeni hiyo franchize nyingine ya Miss Universe. Huyu Miss World franchisee Lundenga dawa yake inachemka.
hao wahindi wakitaka kuwapa magari mabinti zao wasipitishe kwenye mashindano. hii ni dhihaka. Hoyce alisema mkasema ni mbaguzi. sasa aibu inawashika. kwa nini msiwaachie majaji. kwa hili nadhani lundenga anapaswa kuachana na mambo haya. nadhani anasikia aibu.
ReplyDeletetumekuwa tukiona washindi wa kupangwa wasivyofanikiwa. tumeona simba na yanga sizivyotufikisha mbali kutokana na kupanga matokeo. natural justice shall always prevail. acheni viini macho
MI SIKUELEWI WEWE MICHUZI,KWA JINSI NAVYOIJUA ISHU HII ULIKUWA 100% KWA RICHA,KITU AMBACHO MI SIJALI KILA MTU ANA UHURU SIO WA MAONI YAKE.NILITEGEMEA UNGEWEKA KICHWA CHA HABARI CHA KUMTEMTEA RICHA.UNAJITIA PWAA MAANA KABWAGWA AU ILIKUWAJE?UKISIMAMIA JAMBO NENDA NALO MPAKA MWISHO.NAMKUMBUKA MAREHEMU A.C.BAADA YA KUFARIKI KILA MTU ANAMSIFIA NA KABLA ALIVULIWA NGUO KWA KUPAKWA MANENO MACHAFU.POINT YANGU NI HII TUSIPENDE KUWA VIGEUGEU UKISIDE NA MTU IWE FOR BETTER OR WORSE AFU MNAJITIA MMEOA.UPUUZI MTUPUU.SHURTI BINAADAMU UWE NA MSIMAMO.
ReplyDeleteJamani nilisema mapema kabisa ponjoro wenu si lolote haufikishi popote watanzania. Lwama ziende kwa Lundenga kwa kupanga matokeo na kuacha watu wanaofaa. Miss Patel hafaiiiiiiiiiiiiiiiiiii Jamani siyo mzawa
ReplyDeleteMaskini Miss patel kaabisha Tanzania, ni chaliiiiiiiiiiiiiiii kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Nilisema mapema kabisa kwamba huyu hafai na hana sifa za kuitwa miss TZ na lawama ziende kwa Lundenga kwa kupanga matokeo. Machozi ya dada yangu Hoyce hayapotei bure
ReplyDeleteHaya mashindano hatutashinda hata siku moja kama hatutajifunza. Wenzetu na nchi nyingi tu wanachagua mwakilishi mwaka mmoja kabla ya shindano. Hii inasaidia kumpa muda wa kujifunza mengi, Kushiriki katika mambo mengi na kubuild a resume. Na hata kama ni hizo tape "if it is true" zinatengenezwa na kufika wakati unaotakiwa.
ReplyDeleteSiye tunachagua mwakilishi miezi miwili kabla hayo mashindano hayajaanza kweli miezi miwili itakufunda ukagombee kombe la dunia?????? Wapi na wapi?
Huyu angetakiwa atuwakilishe mwaka kesho na wa mwaka jana atuwakilishe mwaka huu.
Michuzi naomba umpelekee Ludenga na watu wote haya maoni yangu....honesty sasa hivi ulimwengu umesha kubali watu weusi. Zamani hata uwe unasifa za aina gani kwa vile tu wewe ni mweusi hufiki popote lakini sasa hivi ni ujuzi wako tu. Apart from being an Asian woman she was too raw for this. You can tell just from her smile. She was very frightening or trying so hard to please TZ people. Don't put these kids into temptation again. It is hard as it is to be miss Tz nevertheless miss Tz of Asian origin. It was too much to handle at a very short period of time
anon sunday 2dec 9:20pm,heshma yako dada/kakangu,kwa kweli maneno uliyoandika yanafariji meaning umeongea sense,ujumbe umefika bila kutusiwa mtu yoyote.Its just simple and clear.Nakuunga mkono 100%.Nilivosemma cooment yako ,sikuwa na haja tena ya kutuma yangu ya milawama.Mungu Ibariki Tanzania.
ReplyDeleteanonymous wa sunday, december 2, 2007 9.20 pm eat umesema kweli kabisa. Lundenga & Co. walikwisha ambiwa suala la muda huo wa ushiriki lakini hawataki kubadilika. Ni wahafidhina wa kwelikweli mabadiliko kwao ni mwiko. Nadhani sasa hivi Lundenga anahitaji msaada mkubwa sana wa jinsi ya kuongoza Miss Tanzania kwasababu kwa kweli he is no longer "creative". And to make things worse, hapendi kuambiwa wala kujifunza kwani toka mwaka 1994 kungekuwa na mabadiliko. Anahitaji awe na meneja wa kuleta mambo mapya katika fani. Afterall taarifa nyingi zipo kwenye mtandao you just need to click and you will get all the ideas you need. Muda wa kujiandaa kwa mlimbwende wetu ni mfupi mno kwa mashindano makubwa kama Miss World.Kama tukiendelea hivi, basi mambo yatazidi kuwa magumu kwetu kwasababu wenzetu wanakimbia wakati sisi angali tunatambaa, na tumeng'ang'ania hapo hapo....what a pity!
ReplyDeleteOOOOOOOOhhh Richa Richa ,I LOVE U. RICHA MIMI BONI HIYAHIYA RICHA TAKE MAI NAMBA 0744 01020102 KONTAKT.....
ReplyDeletekushinda miss world alizani ni lele mama eeh!!!Mi nilijua tokea mwanzo kua huyu muhindi hawezi kushinda hana lolote jamani,,bongo alipendelewa tu sijui waliona vigezo gani kwake,,Hoyce Temu alikua anapoint kabisa wakati anamponda.RICHA PWAAAAAA...
ReplyDeleteNi kweli "Richa Pwaaa"! Asipime kwa mchina bwana! NI kifaa cha nguvu! Halafu myie akina Lundenga, next time hatutaki magabarachori! Watanzania halisi tena warembo wapo...plenty available! Hebu Lundenga ajaribu kumpeleka dada yetu mmoja India akawe Miss India!
ReplyDelete