sizoni haiongopi. hpa ni hoteli ya movenpick ambao wamejiandaa vilivyo na ujio wa sizoni hii ya mwaka huu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. sielewi hayo mapakacha ni ya nini!! tena naona kwa mbali mna bidhaa kama ndizi na nazi, sasa wapi kwa wapi na xmass!! ingekuwa ni xmass tree pale kwa macheni ningeelewa, lakini movenpick!! nope.

    ReplyDelete
  2. this what we call branding!!Inovation and creativity!!
    i hope sio muzungu kafanya hili,
    michuzi jaribu kucheck hilo.
    kama ni mbongo basi toa, jina kuna zawadi!! toa humu humu kwenye hii form jinsi ya kumpatia zawadi.

    Mzee wa Mwz.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...