



ukiondoa vitabu vya riwaya za ujana kama vile james hardley chase, mickey spillane ama mills & boon nina imani wadau wengi wamenufaika na majarida ya spia kwa kuwa sio tu yalifurahisha bali pia yalikuwa nyenzo muhimu katika kujifunza lugha na kupenda kusoma. inasikitish kuona hakuna tena mfano wake na ndio maana mapenzi ya watu kupenda kusoma zaidi ya magazeti yamepungua. tembelea nyumba nyingi bongo utakuta ni wachache wenye shefu za vitabu ama majarida.
Habari ya Spia! Nimemkumbuka rafiki yangu ASCADO LEE - Robbert Sungura
ReplyDeleteTuwasiliane!
Zoolo Lee
Michuzi,
ReplyDeleteVipi mbona gazeti la habari leo na Uhuru hayapatikani mtandaoni? kuna tatizo gani? tafadhali tujulishe wadau.
duh michuzi hii kali !imenikumbusha collection yangu ya haya majarida kama sio hawa uncle zangu kushindwa kuyatunza, tungekuwa nayo.
ReplyDeleteIla napenda kusema kwamba TV zimechukua nafasi kubwa sana ya usomaji wa majarida kiasi kwamba watu hudhani kwamba wanapata kitu kile kile,ukweli ni kwamba kusoma kitabu kunafanya ubongo uwe shapu!
Mzee wa MWZ
Boys oh Boy.. .. I can see Captain Victor, Lemmy and Sonia.... what a memory.... (dRU)
ReplyDeleteMichu umenikumbusha mwaka arubaini na sabba! Nakumbuka nilivyokuwa 'dogo', nilifaidi sana vijarida vya 'spear' na 'boom'.
ReplyDeleteVitabu ni muhimu sana ila siku hizi kikubwa ni TV na huko kina dogo wanajifunza 'majamboz'. Wenye uwezo zaidi ni Playstation, X-box, etc huko nako watoto wanaambulia violence maana hatuna umakini kuhakikisha watoto wanacheza games za umri wao. Ndiyo utandawazi huo - lakini tujitahidi kuwahamasisha waoto na vijana kusoma vitabu
shefu ya vitabu ya kazi gani siku hizi? Ma talking book kibao,sijui podcast
ReplyDelete