mvua kubwa iliyonyesha dodoma haikulowanisha are la askari wa gwaride rasmi lililoandaliwa na majeshi ya ulinzi na usalama leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Jamani hii inasikitisha kwa kweli. Miaka 46 ya uhuru bado hatuwezi hata kupanda nyasi pale stadiumu makao makuu? Na hayo matope kwenye nguo za wana usalama ni kuongezea masimango tu. Michuzi asante kaka, kwa kweli hii picha inanitachi sana. Watanzania tukazie macho kioo ili tujione tulivyoloa . Mungu ibariki TZ.

    ReplyDelete
  2. Mh! Naona Bongo imezidi kwa tambarare. Hizi nguo zitarudia rangi yake kweli?

    ReplyDelete
  3. Ahh jamani,Tanzania hakuna sabuni? nyie wabongo mlio kule ulaya na marekani mbona hamtutumii sabuni mbuni???mawazi meupe wala hatuyapendezi

    ReplyDelete
  4. Mambo ya kusherehekea kwa magwaride ni mtindo wa kizamani sana, na unatokana na mfumo wa kiimla.

    ReplyDelete
  5. VUMBIZZZZ...

    ReplyDelete
  6. Vumbiiiizzz linapolowa linakuwa Topezzzzzzzzzz kudadek kweli ni tambarare.

    ReplyDelete
  7. poleni sana kwa matatizo
    wenu mbeba box!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...