Home
Unlabelled
UHURU DEI LIBERIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hawa ndio watanzania halisi wamevaa vizuri wamependezaa! Sio wengine sijui na vivazi vya wapi!!
ReplyDeleteBado wanathamini utanzania wao.
hongereni kwa kusheherekea siku ya uhuru na jamhuri huko liberia, mko watanzania wachache lakini mmeweza kuungana na kufanya kitu cha pamoja, cha kujiuliza watanzania mnaoishi Geneva mnashindwa nini kufanya kitu kama hiki, mko wengi na wengi wenu mpo UN na Permenent Mission yetu hapo lakini mmekalia bla bla tu, kazi ku attend national days za wenzenu hata aibu hamna, yaani mnashindwa na hata watoto wadogo wanaoishi kwa kubeba box na kuogesha vizee! shame upon you! niliwahi kuishi hapo Geneva kwa miaka 3 lakini hata siku moja hatuwahi kuwa na hata get together party, sijui kwa sababu majority ni wazee au sababu ni nini basi,yaani mna bore kweli, yaani ukiwa huko Geneva huwezi jua kama kuna wabongo, kumbe wapo lakini hakuna organisation yoyote.
ReplyDeleteWewe Kimaro miaka yako mitatu uliyokaa Geneva ulifanya nini cha tofauti na wenzio. Jumuia zinaanzishwa na watu kama wewe, ulivyoona kuwa hawana umoja, si ungekuwa wa kwanza kuanzisha. Au unapenda tu waanzishe wengine wewe ukute vitu tayari!! Hatuendi hivyo. Lazima kuwe na anayejitolea kwa niaba ya wenzie na ingewenzeka kuwa wewe vilevile!!
ReplyDeleteHakuna cha utanzania siku hizi yakhe...mavazi yetu halisi ni mimea ya mti wa ndizi na kujifunika kule chini ni mkia wa ng'ombe babu...
ReplyDeletehuyo bibi mwenye bulluuu,vipi nighty (mawazi ya kulala)
ReplyDeletenaona nimewashika pabaya madingi wa Geneva, kama mmechukia anzisheni basi organisation ya wabongo,nakumbuka kipindi kile watu wakishauri kuanzishwa kwa jumuiya ya wabongo na kuandaa get together parties, utaona wazee wanatoa visingizio kuwa maisha ghali sana hapo,kana kwamba wameambia kuwa party itaandaliwa na mtu mmoja, tatizo kubwa la jamaa wa Geneva ni umimi hakuna lolote, badilikeni sasa kwani foreign communities zote zina organisations zao
ReplyDeleteKwa hio ina maana na wamarekani bongo wakiwa wanasherehekea uhuru wao (July 4) huwa pipa hutundika picha za George Washington (baba wa states) na George Bush.
ReplyDelete