katika kuifanya dar iwe tambarare barabara kibao zinapanuliwa ukianzia hii ya bagamoyo rodi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. hivi watazipanuwa barabara mpaka wapi/lini.Kila wanapopanuwa barabara magari yanaongezeka,wanaacha kutafuta jinsi ya kupata nafasi ya kupitisha barabara mpya(kujenga barabara mpya kabisa) wao wanapanuwa barabara.Haya ndiyo matokeo ya kujenga kihorela bila mpango.Dar yote ingepimwa kama pale center city haya hili tatizo lingetoweka

    ReplyDelete
  2. Bwana Michuzi tukubaliane hili moja. Raha ya kuishi Marekani na Ulaya ni kuiona vile ambavyo vizazi vya mwaka 2250 vya bongo vitakavyokuwa vinaishi; maji bwelele, umeme usiokatika na bila vumbi. I'm very glad nimekuja huku kuishi ahead of my time. Ni pale unapoambiwa New York City ina internet connections nyingi kuliko Africa nzima combined!!!

    ReplyDelete
  3. daa asavali nikirudi mwakani nitaenjoy maana nilikua nawaza sana foleni za bongo zinatesa ...yaani 4 ways from Town 2 Tegeta muhimu kwa sasa

    ReplyDelete
  4. msifanye tu Dar kuwa tambarare nendeni na Kigoma,kagera,tabora,shinyanga,singida na kwingineko ambako abiria wanasota siku 3 rodini ikiwa magari yao yamekwama

    ReplyDelete
  5. mdau hapo juu umetoa siri kubwa sna kwa wala vumbi....wajue tunaishi miaka 1000 mbele yao,walikuwa hawajui sasa wanajua

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...