Home
Unlabelled
utumishi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Majengo mazuri lakini yanaharibiwa mandhari yake na hayo ma air condition ya kutundika ukutani...
ReplyDeleteSteveD.
sura ipo sawa ila iendane na utumishi uliotukuka
ReplyDeleteHapo ndo huwa siielewi serikali ya TZ. Mnazidi kuporomosha majengo mapya ya wizara Dar, je serikali kuhamia Dodoma ndo basi? Tuambieni hili wana Dodoma tujue mlikuwa mnatuvunga!
ReplyDeleteMichuzi tunashukuru kwa hii picha...kuna siku nilikuona unalikun'guta picha jengo moja karibu na benki kuu..sijui ni hostel ile ya ifm au ni nini? hiyo picha sijawahi kuiona kwenye hii glob..ulisimama upande wa National museum ya Taifa na ilikuwa mida ya saa nane hivi kama wiki mbili hivi zimepita!! nilitaka nikusalimie lakini nilikuona uko busy sana unaongea na simu na huku unapiga hiyo picha!!! Unakumbuka Bro? hiyo picha itundike basi!!!!
ReplyDeleteNaona Waziri wa hiyo wizara kaamua kuyavalia njuga mavazi wanayovaa wafanyakazi wa serikali yanayotia aibu hasa ya wanawake wanaovaa vimini na nguo za kubana.
ReplyDeleteMama Ghasia siyo mchezo anajua mwanamke anatakiwa avaaje.Wanawake maofisini walikuwa wamezidi kuvaa hovyo.Hongera mama Ghasia.
Wewe hapo juu unayemsifia Ghasia tukome wanawake.
ReplyDeleteWaziri Ghasia nafikiri anataka tuvae hijabu kama yeye ndipo aseme tumevaa vizuri.
Yeye kakataza watu kuvaa nguo zinazovutia hisia Fulani.Na yeye za kwake zinavutia hisia za kidini aache basi na yeye kuvaa hizo nguo.Maana na hizo zake hazistahili kuitwa za ofisini zinafaa kuvaliwa na mtu anaenda msikitini au akiwa mitaani.
Mambo ya tamaduni za kuiga hayooooo....
ReplyDeleteBora kila mmoja wetu maofisini avae kama Wamasai basi. Hilo nitaliunga mkono.
SteveD.
Hiyo picha inaonyesha ni jinsi gani toyota wanavyo dominate soko la magari tanzania.
ReplyDeleteJamani wale mnaosema huo ni utamaduni wa kuiga mbona hata kuvaa suit na viatu kwetu waafrica ni utamaduni wa kuiga?? Kuna ubaya gani kuiga mambo mema na ya mafanikio kutoka kwa wenzetu??
ReplyDeleteHAPO SIO KIVUKO0NI....NI DODOMA SI TULIAMBIWA SERIKALI IPO MBIONI KUHAMIA DODOMA SASA IWEJE LEO HII TUAMBIWE KWAMBA HAPO NI KIVUKONI? KAZI IPO! SERIKALI YETU KWA UKASUKU NA UNDUMILAKUWILI HAINA MFANO.
ReplyDeleteWIZARA YA USHIRIKA NA MASOKO ( KABLA HAIJAFUMULIWA TENA )ILIKUWA IMEHAMIA DODOMA. KITENGO KIMOJA(MASOKO) KIMEISHARUDI DAR TENA NA KILE KILICHOBAKI(USHIRIKA) KIPO MBIONI KURUDI! HII TAMTHLIA TAMU KWELI! KAMA SWALA LA KUHAMA HALIWEZEKANI KWANINI TUNGANGANIE NA KUDANGANYANA KWAMBA MAKAO MAKUU NI DODOMA HUKU SERIKALI YOTE IPO DAR ES SALAAM?
HIVI NI NCHI GANI AMBAYO MLIONA YENYE UTARATIBU KAMA HUU WA KWETU WA KUUITA MJI MAKAO MAKUU HUKU SERIKALI NZIMA IKIWA KWENYE MJI MWINGINE. LABDA SOMALIA ILIYOCHANIKA VIPANDEX2. VIINCHI KAMA MALAWI VILIFANIKIWA KUHAMISHA MAKAO MAKUUYAKE TENA KWA MUDA MFUPI LAKINI SIE MAKASUKU TUMECHUKUA KARNE NZIMA. AIBU KWELI!