mwimbaji mahiri mwanamama pauline zongo usiku kuamkia leo alitembelea wana ngwasuma msasani klabu na kualikwa jukwaani kuimba kibao cha 'nairobi' cha mkongwe mbilia bel na kukonga nyoyo za wadau

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Mbona amenenepa hivi?

    ReplyDelete
  2. Michudhi mbona umemwita huyo mdada mwanamama? Kwani amezeeka kiasi cha kustahili kuitwa hivyo?

    ReplyDelete
  3. Kanenepa sana na hili joto la bongo sijui kavaa WINTER BOOTS

    ReplyDelete
  4. Unashangaa kunenepa kwa zongo ehee bongo mambo mengine bwana kuendeleza mlo hata kamaulikuwa mwembambsa kama sindano utanenepa tu

    ReplyDelete
  5. msimseme dada wa watu, nafikiri baada ya uzazi ndio kashindwa kuurudisha mwili wake kama zamani. Kama mwenyewe amejiaccept jinsi alivyo nyie tatiso ni nini mangi?

    ReplyDelete
  6. AAITHEE Michudhi hebu mwambie huyo mwanadada athivae hivyo tena hatujapendedhewa hata kadori thithi ni baba dhake tunathema hivi ametuaibisha sana
    avachee

    ReplyDelete
  7. Michuzi unakelele sana , lakini ukweli ni kwamba wakati mwingine unadhalilisha Tz na watu wake.
    Picha kama hii haina haja ya kuiweka humu,
    ... Bibie amevaa winter boots !!!!!! ....si kudhalilishana huku ?? halafu utuambie Bongo mambo tamabarare !

    ReplyDelete
  8. Mwacheni bwana! mbona Ray C anapiga boots hizo kila siku. Kama ziko comfortable kwake basi mbele kwa mbele

    Kuna ki-habari kidogo pale www.swahiliremix.com kuhusu huyu dada!

    ReplyDelete
  9. Na nyie wabeba box mmeanza kelele zenu mara sijui buti za winter mara sijui nini mwenyewe karidhika na ameona amependeza sasa nyie nini tatizo? yaan kukaa kwenu huku mkibeba hayo mabox mkajua buti za winter basi ina kuwa tabu tumewachoka sana na makelele yenu

    ReplyDelete
  10. kama umechoka kapumzike, kma unausingizi kalale. Acha watu wtoe maoni yao, kitu gani kinachikufanya udhani maoni hayo yemetoka nje ya Bongo . Au unadhani walio Bongo wapoote hawajui mavazi na hali za hewa husika ???

    ReplyDelete
  11. JAMANI PUNGUZENI KIDOGO MBONA HIZO WINTER SHOES MIE SIJAZIONA. AU NDIO WINTER SHOES ZA KIMARA

    ReplyDelete
  12. Hizo buti sio za winter niwashushue,hazina manyoya,mumkome dada wa watu.Hana unene wowote wa kutisha msimbeze,akiwa kaonda mtasema mgonjwa,komeni.Fasheni hamzijuwi nyamazeni.Ndio kachapi vitu fulani lakini buti zake ni fasheni hata nchi za joto unaweza kuvaa ila tu asingevaa kijaketi cha uleza na tisheti ya kubana,angevaa tisheti loose nyeupe na angeondoa kofia.From beijing the fashion city she is almost right.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...