wadau, hivi itawachukua muda gani hawa jamaa wanaojenga vizuizi vya kuzuia magari yasipite upenuni kung'amua kwamba wamechemsha?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Michuzi,
    Hivyo vizuizi huwa vinaweza kutolewa. ninamaanisha vinaweza kufunguliwa na kufungwa tena kama kuna ulazima wa kufanya hivyo. Kwa mfano kunapotokea moto kwenye jengo au emergency yoyote vinaweza kutolewa ili kuwapa nafasi watu wa fire au ambulance.

    ReplyDelete
  2. umechemsha wewe baba! vizuwizi huwa vinatoka hivyo

    ReplyDelete
  3. hilo gari lao watalinyanyua kwa winch!

    ReplyDelete
  4. ni removable hizo wewe!!

    ReplyDelete
  5. mie nadhani tatizo sio la hao jamaa tatizo lipo kwa wataalamu wa mipango miji ,plan zao hazikuwa sahii ,hebu fikiri unaamka unakuta watu wamepark magari yao hadi langoni kwako??????? miji yetu haina parking slots, barabara ni finyu sana , mitaro
    sasa ndipo mt anaamua kubuni tu namana ya kuzuia magari
    wataalamu wetu msituangushe jamani

    ReplyDelete
  6. "miji yetu haina parking slots, barabara ni finyu sana , mitaro
    sasa ndipo mt anaamua kubuni tu namana ya kuzuia magari
    wataalamu wetu msituangushe jamani" Hapo si Tanzania baba!

    ReplyDelete
  7. VIZUIZI VYA AINA HIYO VINA WEKWA KWA AJILI YA PREVENT ILLEGAL PARKING MFANO ENEO BUSY KAMA SOKONI ENDAPO WATAACHA WAZI,WATU WOTE WENYE KUJA SHOPPING WATATAKA KUEGESHA MAGARI KARIBU NA SOKO MATOKEO NAFASI ITAKUA HAMNA HATA YA KUHEMA,KWAHIYO VINAWEKWA HIVYO KWA AJILI YA WAUZA BIDHAA SOKONI ILI WA PARK MAGARI YAO NA IKIFIKA TIME YA KUFUNGA VINAFUNGULIWA TENA ILI WATOKE HALAFU WANAFUNGA TENA.UKIVIONA KWA KARIBU VINA KAMA KUFULI HIVI YA KUFUNGA NA KUFUNGUA UKISHAFUNGUA UNAKIZUNGUSHA NA KUKIINUA.

    ReplyDelete
  8. Kusema kweli hawa jamaa, wamechemsha,sisi tunakaa ulaya tunavijua hivyo vizuizi.
    Vya langi ya bluu, havifunguki, vinavyo funguka ni vyenye rangi mbili, nyekundu na nyeupe.
    Na kama kulibeba na wich, si kweli.

    ReplyDelete
  9. jamani si tu kuwa kuna vizuizi vya kutolewa, vipo vinavyonyanyuka na kushuka ndani ya kishimo kama haidrolic style vile. Hapa nilipo viko kibao.Hajachemsha mtu hapo, ingawa wao pia kuchemsha ni kawaida tu maana nao ni binadamu kama mimi na wewe!

    Kwa taarifa hapa pia kuna kuna vyoo vya kushuka (wakati wa mchana) na kunyanyuka (jioni)hususani wakati wa sherehe imbali za kitaifa (ingawa si kila miji) sembuse vizuizi?


    Nyakatakule Unyilisya Echalo

    ReplyDelete
  10. hawa jamaa sio kama wamechemsha na hivi viguzo sio kama vyote vinafunguka hapa katika hii picha tunayoiona kuna kama kiguzo kimoja au viwili ambavyo vinaweza kufunguka wakati wa emergency,wazungu ni binaadamu na wanafanya makosa lakini makosa yao tofauti na wabongo maana huku nilipo sijasikia mgonjwa wa kichwa kukatwa mguu.

    ReplyDelete
  11. mweeee mambo ya tambarare hayo
    pampula2007@gmail.com

    ReplyDelete
  12. Nadhani wadau hamjamwelewa Michuzi, Hivi kati yenu wote Wadau hamjagundua maana halisi ya swali? Kwamba hao wajenga vizuizi hilo gari lao humo ndani watalitoaje? Ni kweli mchemsho.

    ReplyDelete
  13. wewe anon hapo juu wa 10:10pm wewe ndio hujaelewa,vizuizi vinatolewa kwa kuzungushwa wakisha maliza ujenzi wao,halafu wanarudi kuvifunga hawahitaji kubomoa ili watoke.
    na anon wa 6:24pm hata mimi naishi ulaya hivyo vya blu sivijui navijua kama hivyo kwenye picha gold and black ina maana haviwezi kuitwa vizuizi kwa sababu ya rangi.vipo pia kwenye traffic lights vya kuingia ndani ya ardhi halafu gari likipita vinarudi juu ni kwa ajili ya ku control traffic rangi kama hivyo kwenye picha ina maana sivyo kwa ajili rangi si kama rangi unayo ijua wewe.nafikiri waishio east london east ham wanavifahamu vizuri au popote pale.

    ReplyDelete
  14. lakini wadau mbona mimi kwa macho yangu naona hivi viguzo vimelala au nyinyi mnaonaje???

    ReplyDelete
  15. Bwa' Michuzi hapo umechanganya habari, ukiangalia vizuri, hawa jamaa hawahusiki kabisa na hivyo viguzo. Wao wameweka viguzo vyao vyekundu na weupe na protective tape. Mara nyingi unakuta hao jamaa ni waosha vioo au kukarabati sehemu ya jengo. Kuhusu gari lao, kutakuwa na kiguzo au viguzo ambavyo vinaweza kuondolewa kwa muda.
    Nawakilisha

    ReplyDelete
  16. lakini hiyo gari imeingiaje hapo. hivyo vyeusi vimejengewa hapo au vinatoka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...