

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bwana Misupu, hii inasikitisha lakini inatia moyo kwani inatupa binadamu matumaini kuwa bado kuna wanadamu wenye nyoyo za upendo. Vilevile inatukumbusha (Hasa wale wa Ughaibuni) kuwa: Maisha ya watanzania walio wengi sio yale tunayoyaona Dar au kwa wale wanaopata nafasi kusafiri kwenda nchi za nje ya nchi. Bado kuna Mtanzania ambae hajui kesho kutakucha vipi na sio mmoja....... Ukizingatia kuwa kuna binadamu ambae badala ya kujituma kiuaminifu anakomba mpaka ukoko, kujinufaishe yeye na waliokaribu yake (BOT) - Inaudhi.
ReplyDeleteNaomba nifikishie ujumbe kwa "Wagosi wa kaya" - Tunasubiri kwa hamu wimbo/Rap/Flava ya BOT......
Mungu awabariki kwa kuwakumbuka wasiojiweza
ReplyDeletepampula2007@gmail.com
Watoto hawa Mungu awazidishie na miongoni mwao watakuwa viongozi wazuri wa taifa letu.kwani hawajayachagua maisha haya .na hawa wanaowasaidia Mungu hawazidishie wawe na moyo huu huu. na wasitegemee malipo yoyote duniani Ila kwa Mungu.
ReplyDeletehivi wagosi bado wapo?kimyaaaa!!!!!
ReplyDeletehuyu jamaa wa Gazza anaonekana mara kwa mara ktika shughuli za kijamii ,pongezi kwake balozi huyu
ana thamani kuliko wale mjamaa etu wa BOT
Mungu ambariki kwa hilo kuna watoto wengine hapo hawajui hata keki ina utamu gani. Na hii siku wengine wataikumbuka maishani mwao. That is so nice of him
ReplyDeleteIla in reality watoto wote wa bongo wange qualify kwa hiyo party ila ni party ya nyumbani lazima wawakilishe wachache. Nadhani 2/3 ya watoto bongo wanaishi kwenye mazingara mgumu.
Nimeangalia hii picha machozi yakanitoka.
ReplyDelete1. hao watoto hawana hata dreams na hata wakiwa nazo haziendi popote. Kaniliza huyo aliyevaa kofiaupande wa kulia. Na huyo wa kike aliyevaa skirt ya brown ina sijui korosho ba kight brown blouse. Wanatia huruma.
2. Watu wa nje ya nchi ndio wana celebrate na watoto wasio na nguo nzuri wala nini. Hebu fikiria zile party zinafanyika mitaa ya juu kweli hao watoto wangeruhusiwa kuingia hata kuchungulia humo ndani kukoje. Kwanza wengine wanaona ujiko wakialika watoto wa maTX na kusahahau wasio na kitu, Ndio you have the right to invite whoever you want lakini kama nagekua na roho mbaya huyu si angealika vitoto vya kiarabu tu?
Michuzi asante kwa picha zako...
Huyu jamaaa katika mabalozi huyu ndo ana uchungu na bongo! kwani anaguswa na kila kitu kinachotokea bongo! Mwenyezi mungu amzidishie! Inshaallah!
ReplyDeleteShuk shuk. Tyler Texas.
Jamaa ananifurahisha sana kwa kweli ni rahisi sana kumfikia yupo kwenye kila kitu we muombe kafika!!!
ReplyDeleteInatusaidia kutufuta mawazo ya kimagharibi kuhusu Palestine
nimepata huruma sana na pomgezi sana balozi kwa kuonyesha moyo mwema kwa hawa viumbe amabao wanahitaji kusaidiwa,hii imeanza kunipa mawazo tofauti kabisa na adoptation maana zamani nilifikiri watu wanaofanya hivyo ni kwa ajiri wamekosa watoto tuu,lakini i was wrong and selfish of me,imeniuma sana na ningeomba wenye uwezo na moyo mzuri wachukue watoto kama hawa na kuwapa malezi bora na mapenzi kama watoto wao...nafikiri kuna siku nitaadopt nikiweza,imagine umri huo huna wazazi na unaenda kuishi kwenye bweni na hujui whats next zaidi ya kutegemea huruma za watu tuu...hivyo vitoto viwili vya mbele vimenitia huruma sana,mungu awasaidie hawa watoto na wanaowatunza
ReplyDelete