kunradhi wadau, nataka kubadili picha ya hapo juu kulia. naomba idhini kufanya hivyo kwa kupiga picha ingine nikiwa nimevaa fulana hii. naomba kuwasilisha...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 35 mpaka sasa

  1. Michuzi, you made le laugh!!! You are a great comedian... Keep it up!!!

    ReplyDelete
  2. Nimetoa oda hong kong wanitengenezee kama hizo 1000 ili niwabane wadau wa blog, hii itatumika kama jezi ya hii blog yako

    ReplyDelete
  3. Kwanini ubadilishe? Unaona kuvaa kitanzi nishai? au kuna joto bongo siku hizi?

    ReplyDelete
  4. Hamna shida Mr. Michuzi.
    Tunashukuru kwa kazi nzuri natunakutakia 2008 mwema bro.
    mimi Leonard was dar.

    ReplyDelete
  5. tuambie hiyo nyumba ya nani.Hiyo t shirt tumeiona tangu mpaka sasa imepauka.
    Asante kwa wimbo wa AKUDO

    ReplyDelete
  6. Ruksaa ruksaa,, shekhee.
    grmavura@yahoo.com

    ReplyDelete
  7. kaka Michuzi na wewe acha kutuzingua hapa na hiyo "T-Zhirt na Jeans" yako...kila mmoja anapendeeeeza...hakuna inayomchukiza..It doesnt matter kwanza mie hata hiyo picha yako ya hapo juu kulia ndio nimeiona leo vizuri baada ya wewe kuwasilisha hili ombi....ninachojaribu kusema ni kwamba yeyote sawa tuu..chaguo lako. Ila kunradhi mie tuu naomba kuwa mdau wa milioni tatu ....

    ReplyDelete
  8. Unafwata nini nyumbani kwa Jeetu patel !!!

    ReplyDelete
  9. Tena badili haraka sana, mimi nilishangaa sana wewe na tai wapi na wapi wakati tumezoea kukuona katika hiyo fulana yako "katrade mark kako"? itakuwa bora sana kama utaiweka hiyo picha ukiwa umevaa hiyo fulana kwa vile ndo inayokutambulisha zaidi kuliko hako katai. nakutakia mbadilisho mwema

    ReplyDelete
  10. Bro michu hilo jumba la pembeni ndiyo lako nini? huwezi jua mambo ya ufisadi macelebrity wamo vilevile..
    fulana hiyo siyo common kwetu vaa ile yenye stips za red ile ndiyo identity yako.

    ReplyDelete
  11. kaka hiyo fulana kila siku hiyohiyo??, mimi naona bora utafute nyingine, lakini mbona hiyo picha iko bomba tu. ushauri tu.!!!

    ReplyDelete
  12. Hicho crib hapo chembe chako nini? Kimetulia kishenzi..

    Kuhusu t-shirt kama ni your lucky charm...go with it otherwise ..NO!!!...I don't like it.

    ReplyDelete
  13. Hanma noma, wewe mdau wetu hilo limepita!

    ReplyDelete
  14. Hahahah Michuzi wewe ni kiboko ya njia zote mana hapa najua unataka waosha vinywa tu wakushambulie mpk basi mana umemiss madongo ya watu na bahati yako sasa hv wamelala hawajakushushia mipasho.Jamani hii fulana si ndio ambayo wamekukataza usivae??Leo hii unawauliza uweke picha yake hapo juu hahaha mimi simo!!subir mvua ya mashambulizi mwanawane.

    ReplyDelete
  15. mambo ya tiger woods hayo wewe tu kaka michuzi

    ReplyDelete
  16. hiyo fulana poa tu, ila nina swali hiyo nyumba iliyo mbele yako ni ya fisadi gani? maana mafisadi wengi wana manyumba mazuri ila watu waaminifu ni wachache sana wenye nyumba nzuri, kwahiyo wadau msifikiri kwamba nina ile mentality kwamba kila kizuri ni cha mafisadi.

    ReplyDelete
  17. Mi kabla sijakuruhusu naomba niulize kwanza. hiyo flana ina nini mpaka unataka kupigia picha? au unataka kutoka kicheckbob badala ya kishua?

    ReplyDelete
  18. Tafuta nguo ya maana Michuzi!! Hako kafulana una haribu!!!!!!!

    ReplyDelete
  19. michuzi hii t shirt lazima uitumie kwenye picha ya hapo sababu hii ndio logo yako, nimeshangaa sana kuona ulisahau hapo mwanzo!
    Hapa chini umeweka picha ya punda, ni kweli wanaonewa sana, na wana haki ya kutetewa kama binadam pia, natumaini wanaharakati wa wanyama watajitokeza juu ya hili, lakini mie nina swali moja dogo na la aibu sana, vipi kuhusu watu wanaofanya mapenzi na wanyama kama vile ngómbe, mbuzi, kuku n.k je hakuna wanaharakati wa kuweza kuingilia kati jambo hili la aibu na hatari?? Blog ni yetu sote michuz lazima tuseme kero zetu, hakuna pa kusemea zaidi ya hapa.

    ReplyDelete
  20. MIMI BINAFSI SIKUPI IDHINI SI KWA SABABU YA KUTOTAKA BADILIKO HILO LA HASHA BALI KWA SABABU SINA MAMLAKA YA KUTOA IDHINI KWA MWENYE BLOGU KUAMUA ANATAKA KUBANDIKA KIASILI (element) KIPI WAKATI GANI.

    Aidha katika hili hekima yangu MIMI nYAKATAKULE uNYILISYA eCHALO inanisukuma pia nikubaliane na mchambuzi Chibhula Bhanu wa Ebukwaya (1989) aliposema kuwa
    "Si kila akuombaye radhi amekukosea"!

    ReplyDelete
  21. WE MICHUZI TWAMBIE UKWELI TU,UMEENDA KWA BABU NA BABU KAKUFAHAMISHA BILA YA HIYO FULANA MAMBO YAKO HAYATOKWENDEA.SISI TUSEME NINI WAKATI UNAJUA FIKA UTAITUNDIKA TU FULANA YAKO.

    ReplyDelete
  22. enzi za mwalimu kujenga nyumba kama hii lazima ujieleze ,kweli azimio la zanzibar limefanya kazi pevu

    ReplyDelete
  23. Kwa wanaotaka kujua hilo jengo ni Club maarufu pale Arusha inaitwa "Triple A" Inamilikiwa na dealer wa Tanzanite maarufu kwa jina la Papaa Kinyi.

    ReplyDelete
  24. Acha hiyo hiyo tai.Unadhani ukivaa katisheti hako ndio tutaacha kusema kwamba we SIO MLA RUSHWA(RUSHWA MAN).TUMESHTUKIA HIYO BRO.HIZO HUWA NI JANJA ZA WAFANYAKAZI WA WAHINDI MADUKANI.Ila pongezi kwa kazi nzuri sana.

    ReplyDelete
  25. du ni kweli hiyo t- shirt kila wakati huwa tunakuona nayo:

    rutakv@aol.com

    ReplyDelete
  26. Jumna Jumba kweli lakini barabara mwwwweeee...kwanini asiweke hata gravel hapo watu waingie nyumbani kwake vizuri? Hana jirani??? Wakachangishana mihela mtaa ueleweke. Sijui lamborghini yake anaipitishaje hapo!!!!!

    ReplyDelete
  27. Mie naona fresh tu Michuzi ukiweka picha uliopiga na hiyo t-shirt hapo,ila nadhani itakuwa bomba zaidi ikiwa sio passport size, ili na hiyo jeans ionekane au we unasemaje?

    ReplyDelete
  28. wapi tena huko atiii
    pampula2007@hotmail.com

    ReplyDelete
  29. Hey bro! vipi mbona hujabadilisha pic sasa?? honestly hiyo zamani mie siipendi imechoka sana plz weka ya t-shirt ok..kazi njema

    ReplyDelete
  30. I like that t-shirt, badilisha iliyokuwepo weka utakayopiga na hiyo fulana. Baada ya hapo tundika hiyo fulana kwenye e-Bay tuigombanie.

    ReplyDelete
  31. yap.. lakini sio lazima sana uivae, lakini pia ukiivaa itakuwa kumbukumbu safi kwa sisi tunaojua historia ya hiyo tshirt. ila nafikiri utafutie mahali uitundike iwe hapo katika uhai wote wa blog yako.ili siku ukitaka kubadili picha hiyo tshirt utuachie sisi wadau. maana kila mtu anaitaka.je utaipiga mnada lini?
    LMG

    ReplyDelete
  32. Umenichekesha sana michuzi...we gandamiza tu hamna noma...Ushauri kidogo kwa Nyakatulile...Wewe ni mchambuzi mzuri sana wa maada,ila unahitaji kuwa na leisure time,muda ambao hauko serious kiasi kicho,hivi wifi yetu huwa mna muda wa kutaniana kweli?Kumradhi lakini,ni wazo binafsi.

    ReplyDelete
  33. ubadilishe bwana na wewe uonekane mpya hiyo tshirt ina gundu la wanigeria mwaka mpya na mambo mapya kila kitu kitakuwa tambarare

    ReplyDelete
  34. ISSA NIMEKUELEWA HIYO NYUMBA NI MOJA KATI YA ZILE ZA MHESHIMIWA WA " BOT "

    ReplyDelete
  35. Michuzi,

    Hiyo tisheti imeshakuwa ni tredimaki yako kwa hiyo ruksa.

    Lazima itakuwa na historia hiyo tisheti, tupe info.

    Ushauri wa bure; Inabidi uwe unaangalia wapi unapiga picha kabla haujajumuishwa katika listi ya mafisadi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...