jk akisalimiana na Mzee Paulo Kilaini mwenye umri wa miaka 80 katika kijiji cha Katoma nje kidogo ya mji wa Bukoba. Mzee Paulo Kilanini ni Baba Mzazi wa Askofu Msaidizi Jimbo kuu Katoliki la Dar es Salaam Mhashamu Method Kilaini. jk alikwenda kijijini hapo kukagua maendeleo ya Shule ya msingi Kilaini iliyojengwa na Askofu huyo katika kiwanja alichokitoa Babu yake Askofu Kilaini

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...