nyanda wa timu ya taifa ya wanawake, twiga staaz, akila tizi neshno katika maandalizi ya timu hiyo kabla ya kupepetana na cameroun hivi karibuni kwenye mchezo wa kutafuta tiketi ya kucheza fainali za nchi za afrika baadaye mwaka huu. kinadada hawa wako chini ya kocha charles bonifance mkwasa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Pamoja na uzuri wa picha, Hilo ni goli!!

    ReplyDelete
  2. Ahh lakini jamani hao akina mama baadala ya kukaa nyumbani kuwaangalia watoto na kumpikia mumeo...wanazurura na kuhangaika na hilo duara la pumzi!!!!bora kuleta mke wa kijijini!

    ReplyDelete
  3. mshambaa weee,goli gani hilo?,hata jezi la kukopa kwa Inter Milan!!!

    ReplyDelete
  4. Jamani, akae nyumbani aangalie watoto wakati anatafuta pesa??huyo wa kijijini asiyetaka maendeleo siku hizi utampata wapi????????
    Naamini wewe ni wale wanaume wasiopenda maendeleo ya kina mama BIG UP SISTERS ENDELEENI KUFANYA KWELI SISI WATANZANIA TUKO NA NYIE MNA MAANA KULIKO TIMU YA WANAUME YA TAIFA STARS

    Greig George

    ReplyDelete
  5. we anon wa 10.44pm akili zako bado ni finyu umesikia wanahangikia waume zao??? unaonyesha mkeo kama unae unamfichaga jikoni....pu*&%*$#@ kabisa

    ReplyDelete
  6. mimi napenda kazi ya ukocha nitamsaidia Mkwasa hata kwa free of charge. Nataka niwafundishe mbinu mpya za mchezo......
    Dogo, scott

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...