wadau wa tabata amabo ni wakereketwa wa chelsea wameniamuru nitundike hii kuonesha vifaa vyao vipya. nami kwa vile mdau ni mfalme.... nawasilisha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. duh...hizo jezi za Cosmopolitan au vipi???zinanikumbusha wachezaji maarufu wa enzi hizo waliokuwa wakivaa buluuuu,akina Msuba,Zito Kiaratu,Mohamed Bakari Tall,Jumanne Hassan,Mussa Karubala,
    Mansoor Magram,Risasi n.k...'ndege aliye mkononi ni bora kuliko wawili uzunguni'!!!

    ReplyDelete
  2. jamaa kwa kununua wachezaji wanao dumu kwa msimu mmojammezidi.

    ReplyDelete
  3. pampula2007@gmail.com
    wachaaa weee hizi jezi zinanikumbusha mbali

    ReplyDelete
  4. kwasisi wapiga box hizo jezi chelsea tunaweza kusema ni za viwandani usiku kuonana hizo za njano hapo giza likiingia mnaonana hahaha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...