baada ya watani wetu wa jadi kulikoroga na uchaguzi wao watasha kibao wanakuja bongo sasa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Noma Huku Michuzi,Rafki yangu mmoja kaniambia wameambiwa na serikali zao hata Wakienda kwa Watani wajue risk ni juu yao kwani insurance company zimegoma kucover kwa watani wetu (mimi nilikuwa nawaza hii ingekuwa nafasi nzuri ya kujijenga kwetu kwani sasa wakisema wanakuja East Africa alternative inakuwa Bongo ( hatufurahii yaliyotokea kwa majirani kwani hata sisi trend inakotupeleka lolote linaweza tokea kuna ubadhirifu mwingi sana Bongo Iko siku watu watasema basi Ndio maana nawaza kwamba sio mbali yanaweza yakatukuta kama ilivyo kwa wenzetu)!!!
    Trend hii inaweza kwanda mpaka kufikia miezi kama sita hivi kwa nini tusitumie wakati huu vizuri kujitangaza
    Last week kwenye kipindi cha inside africa (CNN) Tangazo la utarii Tanzania lilinifurahisha sana inaonekana tunapiga hatua lakini mawazo yangu ni kwamba tusiishie hapo!!!

    ReplyDelete
  2. tuzidi kuwa na upendo na amani bila wivu, ili tudumishe uhuru wete.

    ReplyDelete
  3. KUFA KUFAANA.....

    ReplyDelete
  4. TANZANIA TUNA TOURIST ATTRACTIONS KIBAO TATIZO HATUJUI KUJITANGAZA,SIJAENDA UBALOZI WA TANZANIA KTK HII MIAKA MIWILI,UBALOZI WA ZAMANI RECEPTION AREA INA PICHA YA MWALIMU,MKAPA NA RAMANI YA TANZANIA,KILICHO ZIDI LEAFLETS ZA TRAVEL AGENT,UBALOZI MPYA WAITING ROOM YOU CAN FIT A SINGLE BEDROOM.HAKUNA CHOCHOTE KINACHO TANGAZA UZURI WA TANZANIA,LABDA BALOZI MPYA KALETA CHANGES,HAWA WATASHA WAMEKUJA TZ KWASABABU KENYA KUNA MATATIZO HAIKUA CHAGUO LAO NI AIBU.

    ReplyDelete
  5. Huu ndio mda ulikua wa kuwafanya watalii wakumbuke nchi yetu ila nimesikitika sana kusikia kutoka huyu mtuanayenifahamu. Yeye sijui rafiki wa cousin wake alikuwako huko DEC. Jamani what is wrong with our people???

    Nimesikitika nikaona aibu
    According to that guy amesema huyo mtu amechukia sana TZ sababu

    1. Wahudumu wa hotelini wananyodo. Amesema wanahudumia mtu kama hawataki kabisa. (Hakupenda customer service yetu)

    2. Bei za vitu vya utalii mitaani havina bei ya kueleweka. Eti amenunua kitu mahali hawajaweka bei wakamgonga kweli. Baada ya hapo mtu mwenye asili yetu aliyekua naye ndio alikua anamnunulia vitu. Akinunua yeye wanmgonga sana.

    3. Watu walikua wanamwomba hela sana njiani na hata wafanyakazi wa utalii huko wanamwomba hela na vitu alivyonavyo.

    Jamani hii ni aibu. Kulangua mtu kwa vile ni mtalii sio vizuri. Mjue hata wewe ukienda kutembelea mahali sio kuwa wewe ni tajiri ila umesave hela yako na unataka kujionea ulimwengu. Halafu hao wahudumu wabadilike tutafukuza watalii wote kwa tabia ya kutaka kutajirika haraka haraka. Na kuombaomba ni aibu. Wewe unamwomba mtu vitu vyake akuachie kwa nini? Kama akikupa haina neno lakini kuomba omba aibu sana.

    Nilisikitika sana kusikia sifa hizo kwa nchi yangu.

    ReplyDelete
  6. We Anony wa Saturday, January 19, 2008 8:15:00 PM EAT, tia timu huko.
    Usitudhalilishe wala nini!
    Hata ulaya kuna ombaomba pia.
    Usitufanye sisis hatujafika ulaya.
    Beba boksi lako huko!
    We vipi wewe!?!

    ReplyDelete
  7. watani zetu nao nyodo nyiiiiingi sana japo custmer care wanaijua vibaya sana ,ukirejea hotelini unapokelewa kama nyumbani ,unaulizwa habari za kazi , unajisikiaje , ukiagiza kitu unaletewa sharp
    watnai wanajitahidi saana ila kutwangana noma

    ReplyDelete
  8. watani zetu nao nyodo nyiiiiingi sana japo custmer care wanaijua vibaya sana ,ukirejea hotelini unapokelewa kama nyumbani ,unaulizwa habari za kazi , unajisikiaje , ukiagiza kitu unaletewa sharp
    watnai wanajitahidi saana ila kutwangana noma

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...