HABARI ZIMEINGIA PUNDE KWAMBA KUMETOKEA AJALI YA NDEGE NDOGO YA KUKODI MJINI MOSHI, MKOA WA KILIMANJARO, NA IMEELEZWA KWAMBA WATU WAWILI WALIOKUWMO HUMO WAMEPOTEZA MAISHA YAO. JUHUDI ZINANDELEA KUPATA HABARI ZAIDI...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ndege gani sasa michuzi bwana sisi watu wengine we have relatives who works for airlines sasa usiposema vizuri unatutisha na ndio wewe wa kutupa habari

    ReplyDelete
  2. Aliyefariki ni Rubani Baraka Lutwaza.

    ReplyDelete
  3. Cessna 172 namba 5H-FUN ndege ndogo ya abiria watatu.
    Abiria walikuwa paragliders. Inasemekana habari za uhai wao siyo nzuri.
    Abiria ni raia wa kigeni.
    Namba haijawa ya hakika, inasemekana ni abiria wawili au watatu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...