Home
Unlabelled
ajali ya singida
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Uso kwa uso, Mungu wangu hizi ajali za sasa zitatumaliza Tanzania.
ReplyDeleteNa gari lenyewe linaitwa adventure!°!!
Inasemekana kuwa Ajali hii Mbaya ilitokea Majira ya 4-5Usiku!! Na ninavyo fahamu mimi ilishapitishwa Sheria kuwa Mabasi ya Abiria yaendayo Mikoani mwisho wa kufanya safari ni saa12 jioni!! sasa kulikoni tena jamani??? au sheria hii ipo katika baadhi ya Mikoa tu??
ReplyDeleteHuyo mwenye basi alikwenda kufanya nini upande huo wa lorry? Wadau angalieni diesel ilivyomwagika inaonekana imeelekea kushoto to katikati. ni wazi mwenye basi alilifuata lorry kule liliko. Nadhani alifanya hivi akijaribu kuweka upande wa abiria kwenye uso wa lorry.
ReplyDeleteJamani hivi hizi ajali kila siku zinaua watu kwanini nothing is getting done about it? Tunakaa tunachekacheka wakati watu wanakufa... Hivi hawa madereva wanapata mafunzo ya kutosha kabla ya kubeba roho za watu au wanakuwa ndugu wa wamiliki wa hayo mabasi? Mimi naona tunahitaji viongozi competent wanaofuatilia haya masuala na kufanya mabadiliko kama kuongeza mafunzo ya udereva au adhabu kwa wamiliki au both. Nimechoka kusoma kila siku ndugu zetu wanateketea kwenye ajali za haya mabasi. Inabidi tuanzishe sheria za kutaifisha haya mabasi kama wafanyabiashara wanazembea masuala ya usalama..
ReplyDeleteMdau - Boston, US
Ajali hizi asilimia 100% ni uzembe wa madereva.Mimi nimenusurika ajali mara 2 hizihizi za mwanza-Dar.Siku hizi wameruhusu magari kutembea usiku lakini inabidi uwe umevuka mageti kabla ya saa 4 usiku.baada ya hapo barabara ni yao ruksa kutembea hata usiku wa manane.Sasa madereva huwa wanakimbia sana ili kuwahi kuyavuka yale mageti kabla ya muda huo.Kwakweli mwendo wanaokwenda ni wa hatari mnoo.
ReplyDeleteSalamu za rambirambi kwa ndugu waliofiwa
ReplyDeleteAJALI NI KITU KILICHOTOKEA BAHATI MBAYA, HU NI UZEMBE SI AJALI
ReplyDelete