BONGOFAMILY ALONGSIDE GLAMOROUSPARTIES PRESENTS


DJ RULE MEGA BIRTHDAY BASH,

SAT 1ST MARCH

@ CLUB SENSATIONS,

450 MOSELEY ROAD,

MOSELEY,

BIRMINGHAM CITY,

B12

9AN.


DJ'Z ON THE NIGHT SUPPORTING YO BOY ARE BIRTHDAY BOY HIMSELF DJ RULE, DEX,MARCUS IRIE, MARTIN SMOOTH, MSQ, JIMMY BLANKS PLUS GUESTS
SMART DRESS'Z ESSENTIAL (ROC BOYS STYLE) CHAMPAGNE FLOWING ALL NYT LONG,BIRTHDAY BOY WILL TAKE CARE OF THE DOOR, SO IT'S FREE ENTRY THE ALL NYT,
COME EARLY TO AVOID DISAPPOINTMENT

DOORS OPENED FROM 10PM-TILL YOU DROP.

MAKE SURE YOU GET ON DJ RULE'Z VIP GUEST LIST FOR THE FULL ACCESS TO THE VIP AREA.

BLESS AND SEE YOU THERE!!!!
MORE INFO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Mazee baada ya box ni kujichanganya kwa kwenda mbele

    ReplyDelete
  2. we jamaa hapo juu acha wivu, unafikiri kila mbongo UK anabeba boxi, ndio maana wabongo hatuendelei. wengine tuna kazi zetu nzuri na kuenjoy life, DJ Rule mwenyewe business man na maisha yametulia. We kama maisha magumu usianze kusema ovyo, kila mtu ana life yake na kila mtu ana background tofauti.

    ReplyDelete
  3. wewe anonymous wa pili kazi nzuri gani ulionayo huko. unafikiri wazungu wajinga kama sisi tukiwaona kwetu hata kama alikimbia school lkn tutawaheshimu na kuwapa madaraka makubwa kuliko sisi wenyewe japo tupo wenye digree na masters lkn ule ujinga wetu tulionao sijui utaisha lini....na kuhusu hiyo kazi yako nzuri kwa mahesabu yangu ya haraka haraka unasafisha vyoo vya bara barani ..mzungu akikupa wewe huo ubosi au umeneja na yeye mwenyewe raia unataka akabebe yeye box.........toka hapa porojo zako ...kudadadeki

    ReplyDelete
  4. wewe anonymous feb 10:10pm acha wivu. wewe ndio muosha vyoo nini. unafikiri kazi nzuri lazima uwe meneja, mbona wapo raia wengi tu wasiokuwa na elimu na wanafagia, beba box, osha vyoo na hawana tatizo na kazi zao? sie wabongo tu ndio tuna matatizo hayo ya kusagiana. Ndio namuunga anonymous wa pili kuhusu wabongo wenye kazi nzuri sana. we don't have to let you know what we do for a living coz haters like you are not worth any evidence. Piss off.

    ReplyDelete
  5. ANONYMOUS FEB 10:10 MPUMBAVU KWELI. UNAFIKIRI KILA MTU MWEUSI MJINGA, LABDA WEWE NDIO MJINGA NA UNAWANYENYEKEA WAZUNGU. KUNA WATANZANIA NA WAAFRIKA WA MATAIFA MENGINE WANAFANYA KAZI ZA MAANA, KUNA WATU WANAFANYA PROGRAMMING, KUNA WATU WAKO KWENYE FINANCE NA WANALIPWA VIZURI. AT THE SAME TIME USIMDHARAU MTU ANAYEBEBA BOXI, NNA NDUGU YANGU HAKUBAHATIKA KUPATA ELIMU TZ, KAJA HAPA ANABEBA BOXI NA ANAPATA UWEZO WA KUTUMA HELA NYUMBANI KWA WAZAZI WAKE AMBAO HAWANA UWEZO NA ANASOMA PART-TIME KUPATA KAELIMU KIDOGO. ANGEKUWA ANABEBA BOXI BONGO ANGEKUWA ANAWAZA KESHO ATAKULA NINI NA KUSOMA ASINGEWEZA. KABLA YA KUFUNGUA DOMO LAKO INABIDI UTAMBUE KILA MTU ANA DIFFERENT BACKGROUND, KWELI NAKUBALI KAMA MTU UNA ELIMU USIPOPATA KAZI INAYOENDANA NA KIWANGO CHAKO CHA ELIMU BASI RUDI KWENU USIBEBE BOXO, LAKINI KAMA HAUNA ELIMU AU CONNECTION YA KUPATA KAZI BONGO JUA LITAKUCHOMA SANA, BORA UPIGE BOXI LAKO NA UTAPATA MSHIKO POA TU. WATU WAMEKUJA HUKU WAMEBEBA BOXI NA KUANZISHA MIRADI BONGO, USIDHRAU WATU MJINGA WEWE, U GOT TO CHANGE YOUR ATTITUDE AU HAUTAENDELEA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...