SPIKA WA BUNGE LETU TUKUFU LA JAMHURI YA MUUNGANO, MH. SAMWEL SITTA, INASEMEKANA AMEAHIRISHA SAFARI YAKE YA KIKAZI NA KUAMUA KUCHAPA KAZI AKATI HUU WA KIKAO CHA BUNGE. HIVYO MAMBO NI MSWANO HUKO DODOMA. TUTAENDELEA KUFAHAMISHANA ZAIDI NINI KIMEJIRI PUNDE TU HABARI ZA UHAKIKA ZA SABABU YA KUAHIRISHWA KWA SAFARI HIYO YA KIKAZI ZIKIPATIKANA
Home
Unlabelled
BREKING NYUUUZZZZ
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kumbe safari ilikuwa haina umuhimu...
ReplyDeleteMWANZO ALISEMA WASIONGEE LOLOTE NYETI MPAKA ARUDI, SASA AMEONA WANAONGEA ANYWAY AMEAMUA KUBAKI KUPOOZA... KWANI HANA DEPUTY, AU HAMUAMINI?
ReplyDeleteWala hatuna shida nae sana na wala hatumuhitaji, angeenda tu huko US na sisi tuendelee kupigilia misumari ya mwisho katika jeneza la CCM. Huyu ndiye haswa anayeiua CCM kwa makusudi.
ReplyDeleteMichu mbona umeniacha kwenye mataa. hebu tufafanulie japo kidogo.
ReplyDeleteHapa ndipo viongozi wa serikali yetu bongo wanaponiacha hoi, maana haiingii akilini mtu anasafiri wakati kuna issue nyeti sn za kuzungumzia na mbaya zaidi eti anampiga mkwala makamu wake asiongelee swala hilo hadi yeye aje, kwani ni nini maana ya kukaimu?Kwanza inabidi amuombe radhi naibu wake Anna Makinda,maana huo ni udhalilishaji, jamaa huyo "6" analiendesha bunge ki ubabe sana, na hapo alitaka tu kuwalinda vigogo mafisadi, maana anajua wabunge hawatachukulia juu juu maswala haya yote ya Richmond na Bot, tunashukuru wanaharakati wote waliolipinga na kulishutumu hili la speaker wetu kutaka KULA KONA,hasa waandishi wa habari!!Kazi kwenu wabunge, na hakikisheni mnawabana fresh hao vigogo, maana haya ni maslahi ya Taifa hasa kwa mdanganyika ambaye hana hata uhakika wa kula dagaa kesho mchana!!
ReplyDelete"6" kaonyesha udhaifu wa hali ya juu, amekuwa kama bendera sasa anayumbishwa kama gari chakavu. Hakuna kiwango wala spidi, mwanzoni alionekana kama ana ubavu wa kuhimili mikiki kumbe osh!!! inasemekana mafisadi walitaka kumkimbiza ili muda uishe akirudi aliburuze bunge kuhusu richimonduli na bot. Sasa kaambiwa 'no'baki hapa kudadadeki. Na ni muhimu mno kumwomba msamaha mama Makinda kama kweli ni muungwana!
ReplyDeleteMichuzi habari za kweli ni "KWAMBA JK KAMUELEKEZA KWAMBA BUNGE SIO DUKA BINAFSI,KWAMBA MAMBO YAMSUBIRI YEYE TU HIVYO KUIFUTA SAFARI YAKE YA USA"sio kweli kwamba ni wabunge !!Hongera JK sasa unaanza kurusha imani yetu wapiga kura wako.
ReplyDeleteHiyo ndio demonstreshen ya STANDARD AND SPEED bwana.
ReplyDeleteNyie vipi!?!
Hayo ndiyo yaliyotufikisha hapo selfishnessssss
ReplyDeletehuo unaitwa umungu mtu kama mie sipo basi hakiwezekani sasa tutafika kweli maana safari anaitaka na hoja anazitaka
Mmh, wanae walishampania Baba huku tulipo, pole sana John
ReplyDelete