Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 40 mpaka sasa

  1. Kabla ya kuyatumia haya inabidi uchome sindano ya tetenasi, manake yana kutu!

    ReplyDelete
  2. Duh jamani,maji hayo au juice la mkwaju???mbona hash brown!!!

    ReplyDelete
  3. bongo tambarare

    ReplyDelete
  4. Da si utani kaka,maana hiyo gharama utakayoingia kutibia hiyo "typhod",ni aheri ugharamie kununua maji ya chupa.Hapo ni Dar karibu 8kms kutoka ikulu,niambie kwetu huko ujiji,kalambanzite,malinyi huko inakuaje?

    ReplyDelete
  5. KAMA HUU NI MSAADA WA BURE NA TUNABAHATI YA KUONA KWA MACHO MAPUNGUFU AU MADHARA YAKE. VIPI MISAADA YA BURE TUNAYOIPATA KWA SIFA YA UMASIKINI WETU KAMA TAIFA. ITATUGHARIMU NINI?

    ReplyDelete
  6. Hiyo ndio miradi ya maendeleo! Kishafinya mkwanja wa Tasaf katulia! ooh Michu watakubenea shauri yako

    ReplyDelete
  7. ah atoto ashii ababa achota km mma

    ReplyDelete
  8. LOL kweli ni maji ya bure, maji kama .....

    ReplyDelete
  9. Duh! kweli bure ghali Michu haya maji au damu!!!!!!. No ni ngunja hii, sasa kigogo ngunja inatoka wapi????????hiki kweli ni kiini macho cha wanasiasa wetu haya tutafika tu.........

    ReplyDelete
  10. Ni kamba ya katani inatoka bombani au machoa yangu????!!!!!!!!!. enyi wenye macho nisaidieni.........

    ReplyDelete
  11. Michuzi wewe kiboko,nimecheka ile mbaya mpaka mbavu sina...message imefika mjomba ila ulivyoifikisha naona ni kwa sanaa ya hali ya juu,asante sana!

    ReplyDelete
  12. Je ni salama? Vema iandikwe "USINYWE". Hongereni mwanzo mgumu, tutafika.

    ReplyDelete
  13. Yakhe mbona yana kutu already!!! dah yanatoka machinjioni au chooni yaani na anaweka kabisa na jina lake huku anau watu!!! KWANI DAWA YA MAJI BILIONI NGAPI JAMANI MBONA WACHEZA NA LIFE HIVYOOO!! Inafaa ashtakiwe watu wa afya wako wapi au ndio wanapiga bia tu viti nje!!! dissapointed
    Londoner

    ReplyDelete
  14. Na usishangae huyo diwani alipata kura kwa hilo joshi la ng'ombe... ooops bomba.

    Some sick decisions we make during elections are freakin' shits thruout 5 years.. Tuamkeeeeeeeeeee.

    ReplyDelete
  15. Ebwana simchezo hapa sijui nimpongeze diwani au nimlaumu lakini diwani kajitahidi kuliko mafisadi sasa ajaribu hayo maji yawe masafi.tutafika tu kidogo kidogo.

    ReplyDelete
  16. Comments that are likely to be addressed by "wadau" will be obvious, something about the color of the water from that tap...."I think", and I know Kaka Michu you normally don’t "answer" questions likely to be asked about your postings. But to be fair for those who made that service possible, and to accurately represent Kigogo constituency residents can you post an "update" to address this: Do they always receive this kind of water or the tap was dried out/rationing or otherwise, and this is what the tap was releasing while resuming that "free water"? I am just asking Kaka Michu. Bin Shukran, Kaka Yenu

    ReplyDelete
  17. E BWANA KAKA,HAYO NI MAJI AU KUTU DUUH!NAWAPA HAWA JAMAA POLE YAO NA HUYO DIWANI,SI KUUMWA SASA AFADHALI UNYWE MAJI YA MFEREJI KULIKO HAYO KUPEANA KUTU TUMBONI NANI ANATAKA UPUUZI HUO,AKUUUUUU!

    ReplyDelete
  18. Hayo ni maji au orange juice?? Tutafika kweli????

    ReplyDelete
  19. Du,tutafika tu. Ila hayo ni maji au mkolo wa punda?; Nimeamini mafisadi si watu!!

    ReplyDelete
  20. Mheshimiwa Chengula endeleza wembe huo huo wa kutoma maji bure. Lakini jaribu kuwashirikisha wataalamu ili muweze kupata maji salama na safi. (Mdau mlioketi seat jirani safari ya Dar - London - NY, Narudi julai)

    ReplyDelete
  21. Ama kweli...Tanzania nakupenda kwa moyo wangu wote...hata kwa maji udongo...mimi bado nakupenda kwa moyo wote. Hivi hawa viongozi wetu wanajua maana ya uongozi kweli? Unafungua mradi wa kudhalilisha watu unaita msaada? kweli Tanzania bado nakupenda kwa moyo wote

    Bro Michu mfikishie ujumbe huyu diwani wa Kigogo kuwa watanzania sio mawe wala chimbilili ni binadamu wanaohitaji heshima kama ameshindwa kuhakikisha maji yanayotoka ni ya kiwango cha ustaarab arekebishe au afunge kituo. Kweli ya bure aghali

    ReplyDelete
  22. Hilo bomba ukilingalia vyema utagundua ya kwamba lina "bomba la plastic" - Plastic pipe ya nyongeza ndio inayofanya maji kuonekana yana rangi ya brown. Angalia chini zaidi utaona baada ya hiyo plastic pipe iliyopachikwa yanatoka maji meupe kabisa.

    ReplyDelete
  23. Haya maji hata nguo huwezi kufulia, manake unazichafua zaidi.
    Yaani ni machafu mpaka yamechafua ukuta. Na watu wanaendelea kuchota jinsi palivyolowa hapo chini. Lakini wafanyeje..looh..Bongo kweli bongo.

    ReplyDelete
  24. Acheni ubishoo wabongo, mmesahau mlikotoka kisa tu mmeishi majuu vijiaka kadhaa? Kwani nani kasema haya maji lazima anayeyateka ayanywe? Unaweza kuyatumia kwa umwagilikaji au hata kwa shughuli za ujenzi. Hata kama uko desperate sana yanafaa kwa kunywa- unayachemsha na kuyachuja au unaweza kuyatia shabu! Mnajidai mmesahau yote haya? Acheni uzushi.

    ReplyDelete
  25. Huyo Diwani Jamhuri Kihwelo nini? Maana ndio kwao. Au sio Kigogo ya Dar? Halafu si ndio Stella Tingisha alihamiaga huko kuna wakati, kawekwa na Dewji au Gulamali. Lakini Kigogo kuna utamu wake jamani.

    ReplyDelete
  26. Tetanus Shot Ziko wapi!, No wonder milipuko ya magonjwa haiishi...Utumbo utapata Kutu hapo!....hivi wanafanyaje, wanaya-Chuja au wanaweka kwenye Mtungi yatuame au?,
    -BooSt3D

    ReplyDelete
  27. Duh kweli Bongo wala vumbi!

    ReplyDelete
  28. We anon wa 9;07 una mavi machoni, yaani unataka kutumbia degree inahitajika kufahamu maji yanayotoka hapo ni machafu? hata ukuta nao huuoni?, haya angalia basi na dumu analochotea, utaona maji yaliyomo yanaonekana ni meusi kabisa. Kama bado utaendelea kuamini kwamba maji yatokayo hapo ni masafi, basi nitaamini wanafunzi tulioachiwa na Nyerere kweli hawafundishiki.

    ReplyDelete
  29. MAMAWEE HII NI CHIBIRITI KABISAHII,WENZANGU MNAONAJE

    ReplyDelete
  30. maanke kama unataka maji safi kanunue

    ReplyDelete
  31. HIYO INAITWA JUICE YA VUMBI, KWA WALE WALA VUMBI HICHO NI KITU CHA KAWAIDA KABISAA NA SIDHANI KAMA NI TATIZO KUSUKUMIZIA NA JUICE VUMBI ORIGINAL MARA UNAPOMEZA VUMBI ILI KURAHISISHA DIGESTION. KWA MTAJI HUU MIMI NITAENDELEA KUBEBA BOX NA KUSAFISHA WAZEE HUKU MAJUU. ANAYETAKA BARUA YA MWALIKO HOLLA!

    ReplyDelete
  32. HAPA NDIO WASIWASI WANGU UNAPOZIDI NA ULE MSAADA WA BURE TULIOPATA JUZI TOKA KWA BWANA KICHAKA

    ReplyDelete
  33. haya maji nadhani kazi inayofaa ni ya kumwagilia maua

    ReplyDelete
  34. bro michu mimi nalalamikia hawa dawasco pamoja na mikakati ya kukusanya pesa za bili ya maji , lakini maji yao ni tope kabisa mimi naishi upanga ,lazima kila asubuhi nichote ndoo nzima ya tope niyamwage ili nianze kupata mengine yasiyo na tope ,nikirudi mchana ni hivyo hivyo, je tatizo ni nini chujio la tope au dawa ya maji? je kama mdau alivyouliza hapo juu ni shs billion ngapi dawa ya maji? tafadhali maji ni uhai.

    ReplyDelete
  35. michuzi naomba uje upige picha nyingine sasa hivi nipo hapa bombani. There was something wrong at this time, and this man knows exactly what he was intending to do with this water. Please don't upset the effort of this diwani.

    ReplyDelete
  36. Du nilidhani twala vumbi tu kumbe wengine walinywa pia? du!

    ReplyDelete
  37. Hayo maji mbona swafi tuu, kwa sisi tuishio Algelia ni kama almasi, na isitoshe yana madini ya chuma kibao, hakuna haja ya kununua Carote.

    ReplyDelete
  38. DUHH! NI HATARI KWA AFYA, HIYO SEHEMU INATAKIWA IFUNGWE MARA MOJA. HUYO DIWANI ANAONEKANA ANAWAKEBEHI WALIOMPIGIA KURA, HAWASAIDII HATA KIDOGO HAPO LABDA KAMA ANATAKA KUWAUA

    ReplyDelete
  39. Mhh! Wakazi wa eneo hilo ni wa kuombea kwa Mungu maana soon tunawapoteza

    ReplyDelete
  40. HAYO NI MAJI YA MATIKITIMAJI NINI? KWELI NDOTO YA MAISHA BORA KWA WOTE IMETIMIA. MIMIKWETU HUWA TUNATUMIA MAJI KAMA HAYO LAKINI HUWA TUNACHOTA BARABARANI MVUA IKINYESHA ISIPONYESHA HUWA TUNAISHI KAMA NGAMIA, KWETU WENGI TU WAMEZALIWA MPAKA WAKAZEEKA NA KUFARIKI BILA KUJUA KAMA DANIANI KUNA KITU KINAITA BOMBA NA KINATOA MAJI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...