Michu kama utaianika hii naomba usiweke jina langu wala email yangu hazarani.Ukiitia kapuni sawa tu.


Michu, imeniuma sana hapa sijui mnawaita wabeba box hawa wanavyo sema ovyo kuhusu Club Afrique.


I was just surfing n decided to check on Club Afrique nikaona all comments abt The club, those made on your blog all together.


Michu mi nimeshakaa hapa Ukerewe miaka kibao, been everywhere, done everything. Hao wanaojidai sijui west end hawana lolote, unajua hao wakuja hapa ndo wanakimbilia sijui west end waulize kuna nini kule? Ushamba tu!


Club Afrique the only place we feel @home.Not only a close relative to Jesse but kama mbongo fulani na wakerewe wa maana wataniunga mkono. Sijatokea hapo club miaka mingi kwa sababu ya family responsibilities lakini nilinusa kama wiki mbili zilizopita n I was over the moon every minute I spent in the Club...
BIG UP JESSE...achana na hawa washamba wasioelewa qualities za hapo, wanaospend mshahara wa mwezi mzima West end na kuja ku kompea mazingira.
Haya maneno wanayosema yako kwa wabongo tu. Ikiwa Club ya Mkenya au mpopo watasifia kama nini! Kwa mbongo mwenzao negativity, tryin' 2 put him down.
NI USHAMBA NA IGNORANCE kama hupendi u dont need 2 comment anything, just stay west end.....


Cheers Mate!
MDAU UKEREWE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Hii club ni kweli iko mafichoni sana. Mimi nilienda huko siku moja. Mmmmm.. Ni kitongoji fulani kilichoko nje ya mji, kusema kweli. Umuhimu wake ni kwa kuwa ni mahali ambapo watu wengi wa nyumbani hukutana. Anyway ...

    ReplyDelete
  2. Mhm haya huyu sasa sijui anategemea toka kwa wasukutuaji, hii issue watamrarua tuu....

    ReplyDelete
  3. MIMI NAONA WEWE ULIYELETA HII HABARI HAPA NDIYO MSHAMBA NA IGNORANCE.HII ISSUE ILISHAZUNGUMZWA NA IKAISHA, SASA WEWE UNAVYOIRUDISHA HUONI KAMA UNATAKA KURUDISHA TENA MABISHANO? KUKAA KWAKO HIYO MIAKA KIBAO HUKO UKEREWE INAONEKANA HAKUJAKUSAIDIA MAANA UNAONYESHA NI JINSI GANI HAUNA TOFAUTI NA HAO UNAOWAITA WAKUJA. STARABIKA WEWE MKAKA SIJUI MDADA, KAMA HUNA CHA KUMPA KAKA MICHUZI ILI AWEKE HAPA KAA KIMYA NA UENDELEZE HIZO FAMILY RESPONSIBILITIES ZAKO, NAFIKIRI ZITAKUSAIDIA KULIKO HUU USHAMBA UNAOULETA HAPA. mshauri hauwawi ahahahaha.

    ReplyDelete
  4. all in all, wanasaga lakini wote huishia club afrique,this is the only place that gives you feelings to being closer to home,huko west end,MSWAHILI huwezi kuelewa techno na drum and bass

    ReplyDelete
  5. mkiwa huko ukerewe mtumie kiswhili sahihi, sijui neno hazarani lina maana gani? neno hadharani ni neno sahihi la kiswahili, hao wakerewe msiwafundishe kiswahili cha wapiga debe wa daladala.

    ReplyDelete
  6. TATIZO LENU WABEBA BOX MKISHA KAA HUKO MNAJISAHAU WOTE AKILI ZENU NDOGO. RUDINI HOME MKAJENGE TAIFA LENU KAMA KUBEBA BOX NI POA ENDELEENI SISI TUNAPETA BONGO NA MKIRUDI MSITUKABE KAMA MPIRA WA KONA.

    ReplyDelete
  7. mi naomba kuelimishwa,kwani hio club ni ya Jesse au kaajiriwa tu?

    ReplyDelete
  8. mimi nauliza,je huyo kaka mwenye tai,fupi,amesahau kama tuko karne nyingine mambo ya vijutai vifupi yalisha pitwa na wakati!!!!!!!!mtumbuizaji inabidi aende na fashion jamani.

    ReplyDelete
  9. Wee mdau uliyeirudisha tena hii issue hapa unaonekana huna experience ya viwanja kama unavyojikanyaga mwenyewe kwamba huwa hutoki kwa family responsibilities.Kuwaita wenzako wakuja ni upumbavu tu kwa kuwa wote hapa tumekuja kutafuta, wee hivyo viaka vyako vichaje ndo unajiona mtasha sasa.
    Hao waliotoa maoni yao kipindi kile ni wateja tu na walitoa maoni yao kwa nia njema ili hiyo club iboreshwe zaidi, ifanane na hizo za waganda ua wanigeria ili na sisi tuwe na cha kujivunia mbele ya wenzetu. Lakini kwa mtu kama wewe unajingia ndani na kubabesit huwezi kuliona hili, hata ungepelekwa uwanja wa fisi ungeona poa tu, kweli tembea uone.Siju ulipewa vibia vya bure huko?

    ReplyDelete
  10. Hivi haka ka kilabu ni ka nani ati??...mbona mwakagombania hivyo???...eeeh!! Sijui Jesse sijui mdudu gani, hebu acheni ushamba nyie mlioko ukerewe, mijibox mizito sanan nini??...Kwanza mwenye haka ka kilabu hebu afanye kaukarabati ka ma ceiling board, nilishasema ceiling board limeoza lakini watu bado tu hawaoni, hebu angalia hiyo picha ya kwanza utajionea mwenyewe, hebu wewe mwenye haka ka kilabu jaribu kuezeka mabati atleast kama vigae ni gharama, au kama vipi nenda West ends ukabebe mijibox zaidi upate japo vijifweza vya mabati...tihi tihi tihi!!!

    ReplyDelete
  11. APEWE APEWEEE VIPANDE VYAKE HUYO BEBISITA UKITAKA CHA UVUNGUNI SHART UCHUNGILIE CHINI(UINAME)SASA UMEYATAKA MWENYEWE UNAJUA WABONGO WALIVYO NAJEURI WATAKUPAKA MPAKA UCHUKIE UKUMBI HUU HALAFU WEWE INAELEKEA MGENI HAPA SEBULENI SASA HII TOPIC ILIKUPITA VIPI MPAKA SASA HIVI NDIO UMELETA TENA MJADALA HUU AU NDIO VIPOMBE VYA BURE UNAUZA BIASHARA YA TAJIRI WAKO LAZIMA NIMFANYA KAZI KWENYE HIYO PUB KWELI NJAA ITAWAUWA WABEBA VISANDUKU

    ReplyDelete
  12. 1. vyoo vimekarabatiwa?
    2. hivi ile/zile 'vip' za nini, kwa ajili ya kina nani na masharti ni yapi?
    3. wahudumu wapunguze kudhulumu wateja. bei za vinywaji hazieleweki kila ukienda kaunta.
    4. wazaire tumewachoka. kila jumapili ni kuzubalia viuno na nyimbo zilezile utafikiri concert.

    ReplyDelete
  13. TATITZO KUBWA LA WABONGO!NI UBABAIKAJI! YAANI WAPO TAYARI KWENDA KWENYE KLABU YA MPOPO AU M-BANGU BANGU YEYOTE YULE KULIKO KUMUHUNGA MKONO MTANZANIA MWENZAO!
    TENA KIJITABIA HIKI! CHA ULIMBUKENI
    KIMEWAFANYA WATANZANIA WENGI WALIO UGHAIBUNI NA NYUMBANI KUJIKUTA KILA WAKATI NI WATUMWA WA KUBABAIKIA WAGENI,
    KAKA JESSE WE SONGA MBELE,KAZI MOJA TU NIBIASHARA.

    ReplyDelete
  14. TATIZO NI KWAMBA WATU WOTE MNAOBISHANA HAPO KUHUSU HII KLABU NI MABANGUBANGU HAMJUI KABISA HII KLABU MAANA NDIO KWANZA MMEANZA KWENDA JUZIJUZI,HII KLBU MNAWAONA WOTE SI WAMILIKI WA KLBU HII MWENYEWE KAPANGISHA WATU HAWA KUIENDESHA HIVYO SIONI SABABU YA KUBISHANA. KAMA KUCHOKA IMECHOKA LAKINI SISI TUMESHAZOEA SEHEMU NZURI NA SAFI ATUENDI NDIO MAANA IKO NYANGANYANGA HALAFU HAKUNA ALIYESHIKIWA KWENDA PALE KILA SIKU KUNA N'OMBE WAPYA WANADONDOKA KAMA STATION BONGO KUTOKA BARA(MIKOANI)

    ReplyDelete
  15. hii club haifai kabisa!!!! nilitembelea huko mara moja last year na sijarudi tena. Kwa ufupi, pachafu, disorganised and ipo mafichoni ambapo panaaminika kuwa mojawapo ya London's dangerous zones. Wewe uliyetuma hii habari kalale mbele hujui unaloongelea. NAhisi wewe ni OWNER wa hii club. Usikate tamaa sit down and come up with better strategies

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...