Home
Unlabelled
FIRST LADIES
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
....surely you meant "Mama wa kwanza wa Msumbiji, Mrs. Guebuza"
ReplyDeleteMisupu, sasa hii si utani wa "mtaa wa Saomra street" Hiyo huwa tunakuelewa, lakini ya Mama wawili wa kwanza wa Namibia! Sijui kama ni utani. Hebu soma tena maelezo ya picha hii.
ReplyDeleteRais wa Namibia anaitwa Hifikepunye Pohamba (sasa sijui huyo mkewe ndo anaitwa nini, Penyehufipo?). Na huyo Mrs Guebuza ni wa Msumbiji (mumewe anaitwa Armando Emilio Guebuza). Weka sawa hii bro Michuzi.
ReplyDeleteMichuzi rekebisha uandishi please. Umewataja wote hao wawili kama ni mama wa kwanza wa namibia!
ReplyDeleteUmenikumbusha Bibi Titi Mohamed,mpiganaji uhuru maaruf!!!
ReplyDeleteUmenikumbusha Bibi Titi Mohamed,mpiganaji uhuru maaruf!!!
ReplyDeleteHapa Misupu Umeniacha..Fafanua Vizuri Mama Wa Kwanza Namibia Wako Wangapi?
ReplyDeleteHii kali inamaana Namibia kuna mama wa kwanza wawili au mimi dnio sielewi hii swahili!!!!1 hi
ReplyDeleteMICHUZI UMECHEMSHA TUKUSAIDIE!!! Mama wa kwanza,Salma Kikwete ni wa TANZANIA na Madam Penehufipo Pohamba(katikati)ni FIRST LADY WA NAMIBIA wakati Mrs.Guebuza ni FIRST LADY wa BOTSWANA. Vipi wewe, husomi magazeti nini au kusikiliza radio!! Somo la URAIA hapa ndio kwao. Naomba usinibanie watu waonee!!!
ReplyDeletebro michu eeh. mbona mama wa kwanza wa namibia mara 2. au macho yangu?
ReplyDeletejamani hivi kumbe Namibia Rais wao ana wakwe wawili au Bw.Michuzi ndiyo umeanza ukishoka?
ReplyDeletehuyo anaefuatia ni primeira dama da repuplica de moçambiqui MARIA DA LUS(mrs GUEBUZA-Msumbiji)
ReplyDeletedU MAMA YETU ANAJUA KUPENDEZA BANA WACHA TUMPE SIFA ZAKE. YAANI HAPO KAWAPIKU WOOOOTE
ReplyDeleteILA UMEKOSEA MAMA WA KWANZA WA NAMIBIA AMEKUWAJE NA MAJINA MAWILI?
KEEP UP SALMA!!!
Michuzi rekebisha maelezo yako. Hao wengine wote naona umewa-address kama Mama wa Kwanza wa Namibia.
ReplyDeleteMama wa kwanza Namibia wapo wawili Michuzi? Au umejikoroga tu!
ReplyDeleteBro Michu hivi Namibia ina Mama wa kwanza wangapi? Au huyo mwingine ni wa Botswana? Caption ktk hii picha inanichanganya.
ReplyDeleteaa michu unatuyeyusha..sasa Namibia kuna mama wa kwanza wangapi? hebu rekebisha mkuu
ReplyDeleteHey Bro Michuzi! Mbona Namibia ina first ladies wawili. Ina maana ni wake wenza au umekosea?
ReplyDeleteEwe mtoto wa kike, acha umbea mbea
ReplyDeleteMichuzi Mchemsho huo. Yaani huyu jamaa wa Namibia ana wake wawili? Kila mtu ana jina lake mmoja Mrs mwingine Madam...Yaala toba! Hebu rekebisha "Mama wa kwanza wa Namibia,Madam Penehufipo Pohamba(katikati) na Mama wa kwanza wa Namibia,Mrs.Guebuza jijini Addis Ababa."
ReplyDeletemichuzi unachemsha these days,unakula mjani nini.
ReplyDeleteKwa hiyo Namibia kuna first lady wawili.
ReplyDeleteMisupu, sasa naona unataka kutuchanganya, hao akina mama wa kwanza na Namibia wako wawili? Katika hiyo picha, mama wa kwanza wa Namibia ni nani kati ya Penehufipo na Guebuza?
ReplyDeleteHivi hao mama wa kwanza wanaongea lugha gani? Kiswahili, Kireno ama Kijerumani?
ReplyDeleteNaomba kuwakilisha
Yakhe,nani anajali hao mabibi wanazungumza lugha gani...lakini nikuhakikishie kitu kimoja kwamba hawapigi gumzo kwenye lugha yangu na yako bali ni special lugha za DOLLAR,SWITZERLAND,USA,ARMANI,GUCCHI,...je umenielewa?
ReplyDeleteYakhe,nani anajali hao mabibi wanazungumza lugha gani...lakini nikuhakikishie kitu kimoja kwamba hawapigi gumzo kwenye lugha yangu na yako bali ni special lugha za DOLLAR,SWITZERLAND,USA,ARMANI,GUCCHI,...je umenielewa?
ReplyDeleteJamani ehee hapo sijamwona LUCY KIBAKI au kabaki nyumbani kulinda ikulu mama ODINGA asiingize timu.
ReplyDeleteje mama wa kibongo mbona hana mkalimani coz kienglish wagana kina richabo kidogo kidogo!mi naona jk amtwagwe scholarship kama mwaka moja YUESI EI kuaitwa
ReplyDeleteMwanawani Michuzi angalia!! Muvuyangile(Sumu)uzeeni haifai,unaadhirika hivihivi.
ReplyDeletesi mchezo salma anajua kufunga kilemba, amependeza.
ReplyDelete