
Kama tulivyoahidi,hii hapa sehemu ya pili ya mahojiano yetu na Freddy Macha akizungumzia zaidi kazi zake za muziki,mambo mbalimbali ya kijamii na mengineyo kedekede.Kama ilivyo katika uandishi na ushairi,kwa upande wa muziki Freddy Macha pia kajaa tele.Anayo mengi ya kusimulia na kuweka wazi kuliko unavyoweza dhania.
Unataka kujua Freddy ametokea wapi mpaka kujikita kwenye sanaa ya muziki? Je una habari kwamba huyu bwana ni mtaalamu na mcheza karate wa kutupwa? Anasemaje kuhusu muziki wa kizazi kipya?Ana ushauri gani?Nini chanzo cha Kitoto Band?
Je…Mwisho wa mahojiano haya,utaweza kusikiliza baadhi ya nyimbo za Freddy akiwa na kundi lake lijulikanalo kama Kitoto Band.Hiyo ni zawadi maalumu kutoka kwa Freddy Macha na BC kwako msomaji,mchangiaji na hususani mpenzi wa muziki.Kwa hakika,kama wengi wenu mnavyopenda kusema,haya ni “mahojiano-
Website :http://www.freddymacha.com
Blog : http://www.freddymacha.blogspot.com
Swahili blog: http://kitoto.wordpress.com
Hivi Tovuti ni nini? Internet au Intranet au website??
ReplyDeleteNijulisheni..
Jamani naomba mkeo anisamee, lakini ukweli nikwamba we Fred miaka ya 80 ulikuwa na roho yangu jinsi ulivyokuwa mzuri aaaaaaaaaaah! we acha tu, lakini kwa enzi hizo mwanamke huwezi kumwambia mwanaume unampenda unaonekana malaya basi kaka Fred nilikufa na TAI shingoni,kwa sasa nimeolewa nina watoto wanne.
ReplyDelete