haka kafulana kanajulikana hadi zenji...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. kaka michuzi kweli hako kafulana kametuchosha machoni mwetu, inabidi ufanye mpango utafute kengine kwakweli haa!!

    ReplyDelete
  2. Fulana wapi unataka kuturingishia mikonnozzz!!!, angalia mzee, mke wa mtu huyo!!!!

    Nikijua tu unakaaga wapi nakavizia hako kaflana nakaiba then tuone utavaa nin.

    we kila siku kaflana hako hako tu??!!!

    Kama ngozi!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. KWENYE PICHA KULIA NI HUSSEIN WA BANBURY AU MACHO YANGU?MBONA UMEZEEKA MZEE WA GOOD-DAY.

    ReplyDelete
  4. bongo kunachosha kweli, huyu hussein kaenda juzi tu sasa hivi anonekana kama mdingi. nilimwambia asiende lakini hakusikia! mama wa kizungu yupo wapi?


    salehe..mayor wa banbury

    ReplyDelete
  5. Ndugu yangu hako kafula kako na wewe nae, naamini sio moja unazo nyingi, kwa maana toka unatupiga picha enzi za Kawe bich unako,Michu unakumbuka Kimamba Fresh na Fantastic Connection squad na cool brother,tulivyo kuwa wadogo, heeee nimeshangaa umejikweza mpaka ukakwezeka mtoto. sasa ngombea na wewe u PM basi maana unafaa, ili unipacheke kwenye ukusanyaji pesa kwenye paki za mjini.

    ReplyDelete
  6. wanaoweka maoni watumie majina yao sio kutumia majina yawenzao hiyo ni kutojiamini au ushamba.na ujuwe unajulikana huja jificha kwa technologia ya sasa kwani taminal uliotuma message unaonesha take care

    ReplyDelete
  7. wanaoandika maoni watumie majina yao wasitumie majina ya wenzao huo ni ushamba na kutojiamini unajulikana technologia imekuwa babu, taminal uliyotumia ndio chanzo ya kukujuwa take care

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...