Maandalizi ya tamash la Sauti za Busara huko zanzibar yamepamba moto ikiwa imesalia siku moja tu libeneke kuanza.
Tamasha la mwaka huu ambalo kama kawa linafanyika katika Ngome Kongwe linatarajiwa kuanza tarehe 7 hadi tarehe12 Februari.
Msanii wa kwanza kufika ni N'faly Kouyate ambaye ni raia wa Senegal mwenye makazi yake nchini Ubelgiji.
Karibuni sanaaaaaaaa, urojo, supu ya pweza, katlesi najuisi ya miwa kibaooo
Kwame Mchauru,
Busara Promotions
PO Box 3635,
PO Box 3635,
Zanzibar,
Tanzania
Tel: +255 24 223 2423
Tel: +255 24 223 2423
or +255 773 822 294 or
+255 784 925 499
www.busaramusic.org
More fire....
Sauti za Busara music festival, 7 - 10 February 2008, is powered by…
Zantel, Ford Foundation, British Council, CULTURESFRANCE, Africalia, Norwegian Embassy, Embassy of the Kingdom of the Netherlands, Fairmont Zanzibar, ZG Design, ZanAir, Air Tanzania, Embassy of France, Holiday Inn, Kanga Kabisa, Memories of Zanzibar, Wahapahapa, fROOTS Magazine, Clouds FM, Chuchu FM, Music Crossroads, Embassy of Germany, Zanlink, Tabasam Tours, Ultimate Security, Jupiter Group, Mercury’s Restaurant, Archipelago Café & Restaurant, Café Foro, Stone Town Café, Alliance Française, Austrian Embassy in Nairobi, DHL, Dhow Countries Music Academy, and www.zanzibar.net

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...