jk akiwa na mpatanishi wa mgogoro wa watani wetu, koffi annan na rais mstaafu benjamin mkapa, rais mwai kibaki na raila odinga, alipokuwa huko kama mwenyekiti wa umoja wa afrika na kusaidia kuharakisha kufikiwa kwa muafaka leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kiswahili sanifu ni: WASULUHISHI sio WASURUHISHI kama ulivyo andika.

    ReplyDelete
  2. Kwani huyu mzee "kibaunsa", "kipara McReagan", ai min huyu aliyeko hapa kushoto chini, bado anahitaji Bullet Proof vest?? Mbona katutunishia m-kifua wake wa kifisadi? Michu tweleze bana!! Adhawaiz anatuchefua sisi jioni hii!!!!

    ReplyDelete
  3. Fikiria NKapa akikunja 4 itakuwaje?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...