


Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kikwete na Mkapa, mwambieni Kibaki Mombasa mali yetu !Waturudishie sasa !
ReplyDeleteMwambieni Kibaki aachie ngazi.Na si kumkandamiza Raila Odinga.
ReplyDeleteTumechoshwa na uonevu wenu nyie viongozi wa Africa wa kuiba KURA.
Jamani mimi ni critic wa African Union, sababu ya kuipinga ni kwamba umoja huo umeegemea zaidi kwenye African pride rather than economic development. Na katika kipindi hiki cha mashindano ya uchumi,economic development ni lazima iwe priority kwa nchi yetu.
ReplyDeleteJe kuna mafanikio yoyote yaliyopatikana ikiwa sasa ni miaka sita tangu umoja huo uanzishwe? ikumbuke mafanikio yoyote tutakayoweza kujivunia ni baada ya kulinganisha na jitihada zilizotumika kuyapata mafanikio hayo. Kila siku mikutano inayogharimu pesa, wabunge wa African union na mishahara minono --- je wanadeliver what is required?
Nchi 22 hazijatoa membership fee kwa mwaka mzima ,this includes Libya and Egypt,nchi amabazo zina uwezo kutoa hiyo pesa, hii ni ishara kuwa nchi hizi hazioni manufaa ya umoja huu kama pia jinsi mimi nisivyozina.
TANZANIA TILIPASWA KUITUMIA NAFASI HII YA POLITICAL INSTABILITY YA KENYA AMBAYO IMEVURUGA FLOW YA WATALII KWA WENZETU, SIO KWAMBA NAFURAHIA KINACHOTOKEA LA HASHA KULIKO KUWAKOSA KABISA NI BORA TUKAVUNA SIYE!!
ReplyDeletePILI: KUMETANGAZWA MAANDAMANO NA ODM KAMA HAWATAFIKIA MUAFAKA NA DALILI ZINAONYESHA HAKUNA MUAFAKA KWA MUDA AMBAO ODM WAMETOA, ODM WAKUMBUKE HAKUNA MAANDAMO YA AMANI KAMA WANAVYOSEMA, NIA YAO NI KU CAPTURE AWARENESS YA INTERNATIONAL OBSERVERS NI LAZIMA KUTAKUWA NA UMWAGAJI WA DAMU TU MANDAMANO YAO NI YA SHINIKIZO SI YA KUFIKISHA UJUMBE KWA MABANGO NANI ATASIKILIZA MABANGO KAMA WAMESHINDWA KUWASIKILIZA HAO WALIOPO? PNU WAFIKIRIE TENA NA TENA MATOKEA YA MAAMUZI YAO.
WABILLAH TAWFIQ
Ukitaka kujua wanasiasa ni wabinafi ndo kwenye isue kama hizi.
ReplyDeleteHata kama Kibaki kaingia ikulu kwa uzushi lkn si wamekubaliana katiba ibatilishwe ili Odinga awe PM....jamaa wakati wakusaini makubaliano kakimbia, yani ajalidhika mpaka Kibaki ang'atuke ili yeye aende nyumba nyeupe....hajui kama kutokukubaliana kwao kutarudisha machafuko ya awali....hii mutu raila ni pumbaf
MI NIMESHAWACHOKA HAWA WATU,RAILA NA KIBAKI WOTE WAMEONYESHA WEAKNESS YA HALI YA JUU.KWANINI JESHI LISICHUKUE NCHI????HAWA WOTE HAWANA DEMOCRACY NA WANA INTEREST ZAO BINAFSI SIO KWA WANANCHI WAO.ITS HIGH TIME KUWATOSA WOTE WAWILI.WATU GANI WSIOTAKA KUELEWA.
ReplyDeleteKIKWETE NI KIJANA MWENYE ADABU SANA MUNGU AKUZIDISHIE.EHEE MAISHA UBADILIKA EHEE ANGALIA JINSI MKAPA ANAVYOMPA ADABU KIKWETE JUZI JUZI ALIKUWA ANAMWITA KIJANA SASA ANAMWAMBIA VIPI MZEEEE KUTESA KWA ZAMUU.NIMESAHAU KITU... KIKWETE USISAHAU KURUDI NA MKAPA MAANA AMENG'ANG'ANIA KENYA KUNASATAKA LA UBADILIFU LINAITAJI SULUU
ReplyDeleteHuu siyo wakati wa kulauimiana tena.Wakati huo umeshapita.Watu wasio na hatia yoyote wamekufa na maelfu kulazimika kuhama makazi yao na kwenda kuishi maisha dhalili kabisa kama mbayuwayu porini.Yote hayo yametendeka katika kutetea na kulinda maslahi binafsi ya watu wachache sana nchini Kenya.Mafisadi ambao wamekuwa wakihofia kwamba huenda wakajikuta kizimbani na sheria kuchukua mkondo wake kwa ufisadi wao iwapo patakuwepo na mabadiliko katika uongozi kufuatia uchaguzi wa kidemokrasia.Hata tukiyachukulia matokeo ya uchaguzi wa Kenya kwamba Kibaki na PNU yake hawakuiba kura ili kujitangaza washindi,bado takwimu za matokeo ya uchaguzi zitakusuta.Lets examine both sides of the Political Coin or Equation.Kwa upande mmoja,PNU,walishinda wabunge sawa na theluthi moja(one third or 33.33%) ya wabunge walioshinda kwa tiketi ya ODM AMBAYO ILIPATA WABUNGE KARIBU 100.Vilevile,japo Kibaki inatamkwa kwamba alibeba kura nyingi zaidi na kumzidi mshindani mwenzake Raila kwa kura zisizozidi 300,000 hivi,lakini matokeo pia yalionesha kwamba kati ya Majimbo au Mikoa au Provinces(kiutawala) ipatayo 8,Kibaki alimshinda Raila kwa kura nyingi zaidi katika jimbo moja tu la Central Province na katika majimbo mengine yote SABA yaliyobakia ni Raila ndiye aliyemshinda Kibaki kwa idadi kubwa zaidi ya kura.Kwa hiyo KITAIFA,Raila ndiye aliyekubalika zaidi na kushinda katika Majimbo/Provinces Saba kati ya Nane,hali kadhalika kwa Wabunge ODM ndiyo iliyopata Wabunge wengi zaidi kuliko PNU.Hoja pekee hapa ya PNU kwamba walishinda uchaguzi huo na hivyo kudai kwamba Wakenya wengi zaidi wameridhia kuipa PNU kuunda serikali ya Kenya ni kutokana na madai kwamba Kibaki pekee kama mgombea Urais alichaguliwa na Wakenya kwa kura nyingi zaidi kuliko Raila kwa tofauti ya kura zisizozidi 300,000.Kenya ia watu wasiopungua milioni 36 na wapiga kura wasiopungua milioni 9.Hata katika mazingira kama hayo kwa mtu anayemuogopa MUNGU,kweli utashikilia msimamo kwamba chama cha PNU ndicho kilichoshinda uchaguzi?Hapa siyo suala la Kibaki peke yake kushinda uchaguzi bali ni Chama chake kwa ujumla kupata ushindi mkubwa(commanding LEAD victory to be elligible to form a LEGITIMATE PEOPLE'S GOVERNMENT).In all sincerety and fairness,hivi kweli itawezekana wapiga kura walewale walio wabwaga chini mawaziri wako kadhaa wa serikali iliyopita,walio wachagua wabunge wengi zaidi kutoka ODM chama tofauti na chako,mbali na kupoteza nafasi nyingi katika chaguzi za Madiwani katika serikali za mitaa,wapiga kura walewale wabadilike na kumpigia kura mgombea Urais wa Chama ambacho kimekataliwa na wapiga kura wengi zaidi?Hili litawezekana kweli,Lets be SERIOUS,for once!Katika mazingira kama hayo NANI ANAYESABABISHA VURUGU ZA KISIASA NCHINI KENYA?Ili kuokoa jahazi The only viable option out of this Political Quagmire is to have an EXECUTIVE PRIME MINISTER and retaining Kibaki as the Country's Ceremonial President or Head of State,with all due respects.Matatizo yetu Waafrika tunayajua na ni muhimu tuvumiliane lakini tukifanya marekebisho kwa faida ya wale watakao kuja baada yetu.AMBAYE HALIONI HILI AU ATAPINGANA NA PENDEKEZO HILO HUYU NI ADUI WETU NA NI ADUI WA AFRIKA.Jamii ya Kimataifa haiwezi kulifumbia macho suala wazi na tete kama hilo kwa kisingizio tu cha eti Wakenya wasiingiliwe katika mambo yao ya ndani.Tumtangulize Mungu katika haya yote.
ReplyDelete1:Yes,tutumie political instability ya kenya kujijenga sisi kiuchumi(Sifurahii wao kuuana).Bandari ya Dar badala ya Mombasa,wazungu(watalii) watue KIA badala ya Nairobi.
ReplyDelete2:Kibaki-Odinga wameonyesha weakiness.Jeshi libebe nchi.
3:"Wageni,njooni kwetuuuu,Kenya yaoo iko na matataaaaaaa"
Ndugu wadau, sasa nafikiri ni kipindi muafaka cha kujua muafaka wa mazungumzo yamefikia katika hatua gani?
ReplyDeleteBado Kibaki ameamua kukomaa au kuwajibika kwa kukubali ukweli
ANON Wednesday, February 27, 2008 10:49:00 AM EAT SORRY NIMESOMA MAELEZO YAKO LAKINI MAREFU SANA MPAKA KICHWA KINANIPA KIZUNGUZUNGU.INGEKUWA MTIHANI NIMEKUPA 0.2 SORRY FUPISHA NEXT TIME
ReplyDeletebinti kikongwe
Mie sijui hata mkapa anafanya nini huko!!wakati mambo kwake yalimshinda...jk mwambie mkapa arudi kwao lindi akapande mihogo,sijaona anachofanya huko kenya..chonde chonde jk mrudishe mkapa
ReplyDeleteJamani politiko instabilite ya Kenya sio tuitumie kuwavutia watalii na kuneemesha/kuitangaza bandari ya Dar tu, bali pia tujifunze ukabila ni KITU MBAYA SANA. Hawa jamaa ukabila ndio umewafikisha hapo pabaya walipo.
ReplyDeleteNayakumbuka maneno ya hayati Mwl. Nyerere kuwa suluhu ya ukabila wa Kenya ni kuungana!! Tukifomu shirikisho, hawatawaza "kikuyu", "luo","kamba" n.k bali watawaza "Kenya", "Tanzania" Uganda" n.k.
Kwetu hili la ki-ukabila tushukuru, lipo, lakini si kiasi cha kuogofya. Wadau naomba mnielimishe, ni kwa nini kwenye baadhi ya vitu huku Tanzania tunalazimika kujaza KABILA? Hii siyo dalili ya kuufagilia ukabila? Au ni sekyurite? Kwa sababu kwenye matangazo ya kuwatafuta watu (mafisadi bado hawajatangazwa kutafutwa) utaona wanaandika "ANATAFUTWA .... Kabila lake ni ....." Tuseme ukabila ni dili bong au!
Svd
mdau hapo juu,Ukabila bongo sio dili na unapoona mtu anasema kwenye matangazo ni ili mtu apatikane faster na si vinginevyo.Bongo hatuna ukabila na vita ya ukabila haitatokea for sure,na hilo tunmshukuru Baba yetu wa taifa J.K. NYERERE- RIP.Mfano mie ni half caste wa kinyamwezi na kisingida,nimeoa banyamulenge,na masisters na mabrothers wote wako wameoa/wameolewa na different kabilas sasa niambie hiyo vita ikitokea watu gani tutapigana nao?Nachopendea bongo watu wanatafuta pesa kwa njia zote including ufisadi.
ReplyDeleteJK ndio Henry kissinger wa siku hizi...tofauti ni moja...JK is handsome!!!
ReplyDeleteJAMANI, TISA KUMI JK NI VERY HANDSOME YOUNG MAN.. YA NGOSWE MWACHIENI NGOSWE, MARAISI WA KENYA WANAGOMBANIA VYEO VYA DUNIANI(SHAME ON THEM BOTH) MBINGUNI KUNACHEO ZAIDI...WAMJEUKIE MUNGU JAMANI WAACHE MATABAKA YA UPUUZI. AMEN...AMEN...
ReplyDeletemkapa unajitahidi saaana kuuza sura kila saa uko pembeni ya koffi annan umekua body guard wake sasa hivi?umbea tuu ulishindwa ya zanzibar ya kenya utayaweza??
ReplyDelete