

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wahindi hawaachi asili yao!!! nadhani pia kwenye pesa zao kuna nembo ya pilipili! kwa jinsi wanavyoipenda.
ReplyDeleteKweli wadosi tunazipenda hizo pilipili na haswa hizi za kimanga,hilo pilipili ukilipenya pahali ambapo jua halin'gai nakuambia magonjwa yote yatakukimbia na wala mganga hutamtembelea!
ReplyDeleteANATAFUTA PUBLICITY YA BURE!
ReplyDeleteISSA HUYU JAMAA NIMEMUELEWA ANATUAMBIA KWAMBA.."PILIPILI ALE MWINGINE WEWE KINACHUKUWASHA NINI?"..ANAPENDA MAFUMBO HUYU..
ReplyDelete