26 feb, 1971: soko kuu la kariakoo siku chache kabla ya kuanza kuvunjwa kupisha ujenzi wa hili soko la sasa ambapo kesho itakuwa miaka 37 kamili toka shughuli hiyo ya ujenzi ianze..

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. MICHUZI,haki ya mungu,ulikuwa hujaingia mjini

    ReplyDelete
  2. Dar ndio ilikuwa Dar enzi hizo...nakumbuka 'double decker bus'nyekundu,Drive in cinema zilikuwa na onyesha picha za kimarekani na kihindi,mnazi moja na kariakoo zilitulia bila machinga na wezi wa mifuko,ahhh TZ golden era!!!

    ReplyDelete
  3. Duh!
    Kaka Michuzi umenikumbusha mbali!
    Naona Basi la DMT hapo pembeni
    Kwa wale maDOGO hiyo DMT(Dar es salaam Motor Transport Company) ndio ilikuwa kampuni ya kusafirisha abiria mjini Dar kabla ya kuja kwa UDA.
    Ndo daladala za miaka hiyo ya 47.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...