Hallow kaka Michuzi,

hongera kwa kazi nzuri,
kwa upufi ningependa kushare dada huyu ambaye hajajitokeza katika jamii ila kazi yake inanifurahisha.


Anaandika na kuimba kila kinachogusa jamii na hata maisha yake. Mie nimepata fursa ya kusikia na napenda kushare nawe.

Hapa hajapata wataalamu sijui wewe kaka michuzi waonaje?

wataalamu wetu mko wapi vipaji hivyo jamani.


Asante sana!
Kindly,

Mdau Joseph


Picture:
http://www.afrikantrack.com/tshangari/tshangari.jpg
Song 1 - Summer 2005 (Imani): http://www.afrikantrack.com/tshangari/summer2005.mp3
Song 2 - Isiwetabu: http://www.afrikantrack.com/tshangari/isiwetabu.mp3
Song 3 - Uko Wapi Baba: http://www.afrikantrack.com/tshangari/ukowapibaba.mp3

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. HUYU ALIANZA ZAMANI KIPAJI CHAKE NI CHA KUZALIWA KWA WALE WA KIZAZI HICHO WANAMKUMMBUKA ALIKUWA ANAITWA BLACK MADONNA ALISOMA MAWENZI SECONDARY MOSHI ALITUSAIDIA SANA KUJUAA MAMBO YALIYOKUWA YANAENDELA UGHAOBUNI WAKATI HUO LUNINGA ILIKUWA ILIKUWA HADIMU.HIVI NI VILE VIPAJI VYA MOSHI WA KIFUU.

    ReplyDelete
  2. Yuko wapi huyu raia mtaalamu hivi?naomba mawasiliano yake

    ReplyDelete
  3. hivi ni vipaji vya moto wa maranda au mapumba ambapo ukiona kwa nje ujui ukubwa wake ukibhatika kupata dozi yake unaikubali.kumaintain low profile kunakuza sana kipaji. i knew she is excelence.kwa maoni yangu ya kwanza(moto wa kifuu) nilikuwa namaana siku zake za kuvuma zina wadia. wadau tumpigania kwa michango ya kila hali. Hongera Black Madona

    ReplyDelete
  4. Mhhhh bado dada!! Angalia jinsi ya kucheza na sauti irandane na Vyombo!!
    Unajitahidi

    ReplyDelete
  5. Vipi michuzi, huyu Sister Tity ni nani tena, maana nimependa nyimbo zake kweli, zina msisimua wa aina yake. Big up girl!!!!

    ReplyDelete
  6. MMMMMMMMH MAMBO HAYO HUYU DADA KAJIFICHA WAPI? NAPENDA STYLE YAKE
    ITS A NEW FLAVOR IN THE AIR .
    KEEP IT UP GIRL

    ReplyDelete
  7. sasa na wewe unapost hilo file kwa technology ya miaka 100 iliyopita,huo ni usumbufu sana ,basi hata unge upload youtube then ukaweka link hapa ingesaidia

    ReplyDelete
  8. Hiyo picha:
    Kachoka?
    Anaumwa?
    Anausingizi?
    Katokaamka?
    Anagenye?
    Au?

    ReplyDelete
  9. She is a fantastic singer and the songs have powerful words! I want to hear more!!! Is the afrikantrack.com her contact???

    ReplyDelete
  10. Wataalamu gani unatafuta humu kwenye kwa Michuzi.Kuna wataalamu siyo kbs humu... Utaona mwenyewe kwa message zitazotoka hadi utakoma kwa kusema unamtafutia wataalamu...utapata wakware wengi zaidi...wanaokuja kwa gear mbalimbali...

    ReplyDelete
  11. Wataalamu gani unatafuta humu kwenye kwa Michuzi.Kuna wataalamu siyo kbs humu... Utaona mwenyewe kwa message zitazotoka hadi utakoma kwa kusema unamtafutia wataalamu...utapata wakware wengi zaidi...wanaokuja kwa gear mbalimbali...

    ReplyDelete
  12. Watu kama hawa wanahitaji msukumo wa ndani.Nikimaanisha kuanzia kwenye family, family friends na wasanii wengine. Hiki ni kipaji ambacho kinahitaji kugunduliwa.Badala ya kuacha vipaji kama hivi vipotee,basi wenye uwezo wange-invest kwenye watu kama hawa.Hongera sana na keep up your good work!!

    ReplyDelete
  13. DADA NINA PICHA YAKO NILIKUPIGA KATIKA SHEREHE FULANI NILIKUWA NATAKA NIKUTUMIE , NITUMIE EMAILL YAKO NITAKUTUMIA. AT tgeofrey@yahoo.com OR tgeofrey@gmail.com

    ReplyDelete
  14. Wee ANONY hapo juu hebu pandisha hiyo akili fupi kwenye ngazi ili irefuke uweze kuona, huyo hajawekwa kwa ajili ya macho.

    ReplyDelete
  15. haya michu tafuta na wengine wenye vipaji vyovyote, tuwaendeleze maana ndio sifa ya tanzania hiyo, kuliko fisadi, mtu ukiwa na talent fulani, ni vizuri.

    ReplyDelete
  16. Jamani, hizi nyimbo nimezipenda especially hiyo ya pili na ya tatu, kwa kweli kama ni kipaji anacho, mimi namfagilia sana huyu dada. Endelea kutuwakishishaaaaaa Tity!!!!

    ReplyDelete
  17. HATA MIMI NAFAGILIA SANA NYIMBO NZURI NA UKIJITAHIDI UTAFIKA TU. KAMA UNATAKA KUIRUDIA FANI YAKO YA ZAMANI SABABU ULITESA ENZI ZILE SO KAZA BUTI.....

    ReplyDelete
  18. Sauti nzuri na kama ameziandika hizo nyimbo mwenyewe ni kipaji pia kikubwa. Ila mimi naona atafute producer vile amsaidie awe na originality music na sound...wimbo wa pili na wanne ni tune za watu yeye ameweka tu sauti na maneno yake. Haina hata range tofauti na original songs kabisa. Number mbili ni Elton John na amechanganyanya na south african beats.

    ReplyDelete
  19. NAOGOPA MKOROGO

    ReplyDelete
  20. JAMANI MKOROGO MAMBO YALIYOPITWA NA WAKATI KAMA UMEKOSA CHA CHAKUSEMA MWACHE BINTI WA WATU NA BLACK BEUTY YAKE. TENA WALA ISIUGUSE DADA

    ReplyDelete
  21. Michuzi una Balaa wewe!Binti wa Kibongo tumemwona.Mtaji anao.Sasa akili kichwani Mama!Wewe rushaa Kamba tu,iwe ndeeeeeeeeeefu kisha anza kuivuta taratibu!Hapakosekani kitu hapo si unajua tena!Maprodyuza mnangoja nini,mchele huo!Ukiupika vizuri Pilau lake linalipa,au Vipi?Laah!Maana ilibidi ninywe glasi tatu za maji!So mchezo manake!We mwenyewe Michu uko salama lakini?Poa basi.VIPI MAMBO ya Bush!tehetehetehe!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...