Kipindi cha Idhaa ya Kiswahili ya BBC
‘Dira ya Duni’, kitarusha hewani mahojiano na mshairi-na msanii mkongwe wa muziki wa dansi, Nasibu aka Ras Nas, Ijumaa hii (29 Februari) kati ya saa moja na moja na nusu jioni, au 19:00 – 19:30 East African Time (EAT).Mahojiano hayo, yalochanganyika na masala ya vibao vipya toka kwenye nyu albam ya ‘Dar-es-Salaam’, yatafanyika baina ya Ras Nas na mtangazaji mahiri wa Idhaa hiyo, Idd Seif. Baadaye kipindi hicho kinaweza kupatikana kwenye podikasti mtandaoni.

Wadau
kaeni mkao wa kusikiliza!

Kongoi Productions
http://www.kongoi.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...