Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivyo hivyo kipanya wakomalie. Huu sio wakati wa maneno mengi wakati babara nyingi hazipitiki, maji safi na salama hayapatikani sehemu nyingi, magonjwa usiseme, maisha juu. Nadhani unatimiza wajibu wako mkubwa kama msanii katika kuwakilisha kero zetu badala ya kuwasifia hawa viongozi wakati sisi tunaumia wao na familia zao wanapeta. Unaesikia maumivu unatakiwa useme siyo mpaka mtu anayekuumiza akuonee huruma, hapa siyo mwake maana hawa viongozi wangekuwa na huruma ya kweli kwa wananchi Tanzania ingeendelea sana. Si unakumbuka kauli mbiu walizowahi kuja nazo kama: FAGIO LA CHUMA, UWAZI NA UKWELI (Ikageuka mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe) na sasa KASI, ARI NA NGUVU MPYA. Kajisemea msanii afande Sele, nyani wapya msitu wa zamani (kauli mbiu mpya, utendaje bado ule ule, matatizo yanaongezeka)
ReplyDeleteEndelea na mwendo huo huo KP, wapenzi wako tupo nawe
,,,Funny, niliposikia ultimatum nyingine tena ya mkuu nami nilipata mawazo kama ya Kipanya...minus 'mkwara' wa mzee!!
ReplyDeleteU R Good, KP! teh teh.
haya mzee!umepewa go ahead,tuone mavituz yako.
ReplyDeleteukiboronga tuu,unapigwa chini!
Baba Malcom a.k.a Prezdaa mtarajiwa da umenikumbusha mbali sana toka Filamu ya Boyz 2 men,bendi mpya leo hu ha yang kibadachi,anyway endelea kusema nao mukuu wa kazi kila siku story tu hao.
ReplyDeleteNakumiss sana nakumbuka power breakfast,chuchu mdau wa UK!
Mzee Pinda ujipinde kwelikweli, uozo mwigi kero nyingi sijui uanzie wapi? uishie wapi?.
ReplyDeleteMIMI NAONAGA VIONGOZI WA TAIFA LEO WANAWEKWAGA TU TO FEEL THE GAP SIO KUWAJIBIKA
ReplyDelete