Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera mzee Kp kwa kazi njema.
ReplyDeleteKutokana na kibonzo chako, mimi nafikiri kuna mafisadi wengi bado wamejificha ndani ya CCM. Ili waweze kutambulika inatakiwa CHADEMA wawe wengi zaidi ya waliopo sasa ili wawafichue mafisadi zaidi na hapo kazi ya CCM ndiyo itakuwa tamu...fisadi baada ya fisadi hadi tz inakuwa angalau kama sauzi vile! Maendeleo kitu kizuri jamani!
KP CHUKUA MARKS ZA MATOKEO YA JIBU LAKO HAPA HAPA JAMVINI AMBAZO NI :-
ReplyDelete(-10%)
MASAHIHISHO(JIBU SAHII)
HATUKUWA NA UCHAGUZI WA KUTAFUTA NANI NI MWANACHAMA WA ALIYEFUMUA ISHU ZAIDI HIVI KARIBUNI BALI UCHAGUZI WA KIONGOZI MWENYE SIFA ZAIDI ZA UBUNGE KUTUWAKILISHA WANANCHI WA KITETO.
HATA HIVYO IKUMBUKWE KUWA MPAKA TUTAKAPOBADILIKA KIHALI, KIAKIRI NA KIROHO, KUTOKANA NA AMA UMASKINI WETU AU ULAFI WETU, NGUVU YA TAKRIMA NDOANO BADO ZITAENDELEA KUSIMAMA KAMA KIGEZO KIKUBWA CHA NANI ATAIBUKA KIDEDEA.
MAELEZO YA ZIADA:
UNADAIWA ALAMA 10 KWANI HUKUKOSEA TU KUJIBU BALI UMEONGOPA!
HAKUNA AMBAYE AMEWAJIBISHWA NA CCM KWA UFISADI.
UPINZANI ULIANZISHA HOJA NA PM AKALAZIMIKA KUTEMA MZIGO NA MAWAZIRI WENGINE WOTE WAKATEMESHWA KWA MUJIBU WA KATIBA YA JMT NA SIYO KATIBA YA CCM .
CCM WANGEWAJIBISHA WABADHILIFU BALALI NA WENZAKE SASA HIVI WANGEKUWA WANALETWA KISUTU KWA KARANDINGA. EX-PM NA WENZAKE
WANGEKUWA WAMEPEWA NAFASI YA KUJITETEA WANAYOLILIA MBELE YA SHERIA MAHAKANI NA SIO KWENYE TV NA MIHADHARA YA JIMBONI KWAKE.
MWL.MAMBO HALISI
Hongera CCM kwa ushindi mkubwa. Mpaka majimbo yote ya upinzani tuyakomboe!.Baada ya hapo kazi ni moja tu ya kusonga mbele. Kwani hamkusikia mama Anne Kilango Malecela alivyosema? Hatutaki tena wapinzani watukosoe,tutakosoana wenyewe,hakuna tena kubebana. Maslahi ya Watanzania kwanza halafu maslahi ya chama yanafuata baadae.
ReplyDeleteMWL.MAMBO HALISI
ReplyDeleteMpashe huyu Kipanya. Kipanya nadhani huna mshauri kwenye hizi katuni zako na kupitia kwenye katuni zako tunajua kweli uwezo wako wa kufikiri ulivyo
Ona kama kwenye ile katuni ya the Beast ... lakini kwa nini hutaki kuomba msamaha?
Kipanya unajua kuchora lakini tafuta mtu atakayekushauri jinsi ya kutengeza ujumbe kwenye hiyo michoro yako
Acha kubisha
===================================
ReplyDeleteBREAKING NEWS
===================================
Baada ya ile teleza ya the Beast
Achemka tena na Kiteto
Wewe una nini mwaka huu?
Te he
===================================
Mimi binafsi naona katuni zako zinaelimisha. Si kazi yako kutafsiri kila kitu kwani katuni moja inaweza kubeba maudhui mengi kutegemea na mtu anavyoitafsiri. Ni kweli kabisa wakati wa kampeni kule kiteto CHADEMA waliwaomba wananchi wawaongezee mtu kule bungeni (mbunge wa upinzani) ili waendeleze kazi walioianza ya kufichua mafisadi, wakati huo huo CCM wanasema bila ya wabunge wao kuwa shupavu basi mafisadi wasingeshughulikiwa kwa maana kwamba wangepinga mpango wowote wa kuwashughulikia mafisadi ambao ungeletwa na wapinzani. Hali hiyo ilishawahi kutokea miaka ya nyuma. NANI MSHINDI? Kwangu mimi mshindi si CHADEMA wala CCM bali ni WANANCHI. Wananchi sasa hivi tumebadilika sana tofauti na ilivyokuwa awali ambapo wabunge waliona ubunge si kazi kama kazi nyingine ila ni blaa blaa tu. Mbunge analipwa vizuri kuliko Mhadhiri wa chuo, daktari anayesimama theeta kutwa nzima kwa kwa kufanya operation. Sasa kwa nini hawa wabunge tusiwapime kwa uwajibikaji wao kwa wananchi kwa namna wanavyoshirikiana nao katika kutatua kero zao na siyo umaarufu wanaojitafutia pale bungeni. Mafisadi waendelee kufichuliwa na wakati huo huo wabunge warudi majimboni wakatatue kero za wapiga kura wao. Naona siku hizi kuna baadhi ya wabunge wanatafuta tu umarufu kwa wananchi kupitia vyombo vya habari badala ya kurudi majimboni kuchapa kazi. Inakuwaje mtu anayelipwa zaidi ya milioni kwa mwezi haonekani ofisini kwake (namaanisha jimboni kwake)wakati mwalimu anayelipwa laki moja anatakiwa awepo eneo lake la kazi kwa muda wa saa 8 kila siku na siku 5 kwa wiki. Wananchi tubadilike ili wabunge waweze kufanya kazi zinazotakiwa badala ya kutumia muda mwingi Dar kwenye biashara zao. Chapa kazi KP. Rama
ReplyDeleteAnon wa pili,umesema ukweli. CCM hawana uwezo wa kuwawajibisha mafisadi. Kuachia madalaka siyo mwisho wa kuwajibika, inabidi wafikishwe mahakamani, hao ni marafiki wa muda mrefu, wanalindana tu, wanajua tutasahau. Issue inayofuata ni kuwafilisi Lowassa, Karamagi, Rostam Aziz na wote waliotajwa kwenye riport. Hao mafisadi wanachofanya sasahivi ni kuficha mali tu.
ReplyDeleteHihi hivi watanzani wote ni wajinga au ndio vichwavya wendawazimu, Lowasa ana sema kwa ni watu wa chini yake kama ni hivyo kwa nini asiwafukuzishe kazi maana alikuwa ni waziri mkuu. je ina maana ukiwa maneja kwenye kampuni halafu unakuja kujua watu wa chini yako wanafuja mali je ni wewe utaondoka kwenye madaraka au utawafukuza ? au ndio kufichana na kulindana maana kama yeye lowasa anawajua hao watu kwa nini asisema tangia siku zote kama hata ya kujiuzulu. je emejiuzu na hao watu wa chini yake au waliompa report au maelezeo baya bado wapo madaraka au kwenye ngazi muhimu serikali hambazo zinazoitaji uongozi mzuri.. kama lowasa anasema kweli lazima watu wote walishulikia deals zote plus report zote wafuliwe madaraka bila kujali ametumikia sekali kwa muda mrefu au mfupi tunata viongozi ambao watatuongoza vizuri nakulete maendeleo kw awatu wote si kwa ajili ya watu wachache .. kuna usemi unasema hivi kama una kula na kipofu mshikishe nyama pia, lowasaa ameleta maendleo gani kama umeme ndio hivyo maji shinda petrol bei mbaya sasaameshaku yake yupo monduli anakula raha msarehe je sisi wanaichin tukula wapi ? kidumu ccm lakini tuwe wazi .....kura yangu ipo kwa ccm
ReplyDeletePlz plz Lowassa wataje watu waliokupa maelezo ya uongo ili wasije kuwapa viongozi wengine na pia ili iwefundishi kwa watu wote . thanx michu for publishing my comment and that cause of freedom of speech , i think we have to express what we think is wrong and wrong esp ppl who are doing bad we have to tell that is wrong without fear and ppl who ar doing good like Jk we have to said thakx ur a the best and remember them for the gd things there ahve done for bongo like mwalimu.....u know wht i means.....
ReplyDeleteKP hajachemsha hata kidogo, kama inavyouma nyie hiyo message ndivyo zinavyowauma watu wengine hivyo hivyo mesage ambazo mlikuwa mkizishangalia!
ReplyDeleteYeye alishema kuwa ni msanii na anatoa kile ambacho anakiona kwa jicho lake la kisanii hivyo si lazima ukubaliane naye wala usimlazimishe akubaliane na wewe. Huo ndio uhuru wa mawazo huwa kama msumeno huuma pale unapokugusa na huwa mtamu pale unapokukuna.
Cheers!
Jina la Kipanya kweli limefika mahala pake, yaani copyright na mnyama mwenyewe
ReplyDeleteHuyu KP naona sasa ameishaanza kishikishwa mlungula na mafisadi ili awapulize kidogo vidonda vyao lakini haitasaidia kitu!Mimi nadhani kuwawajibisha ni kuwafikisha mahakamani na si kwa kujiuzulu tu,na ikumbukwe ni mahakama pekee ndio yenye mamlaka ya kusema kama mtu ana hatia au la?
ReplyDeletePia tafadhali Braza Michu hebu tuwekee tena japo kwa muda kidogo hiyo katuni ya "Beast" kwa maana wengine hatukuiona bali tunaishia kusoma mijadala tu sasa hatuelewi?chondechonde
guys.....mnajua maan ya sanaa???...some people should go back to school. kwa kifupi jamani sanaa inaruhusu watu kutofautiana katika tafsiri. mi naomba tujaribu kudiscuss issues and not people, the kibonzo itself says, chadema ni wafichuaji, while ccm ni wawajibishaji. sasa issue ya mtu keshawajibishwa au angewajibishwa haipo....the issue is about the status kati ya ccm na chadema......
ReplyDeleteWe Kipanya ulimsikia mheshimiwa Rais alipokuwa akiongea na wazee kuhusu hili suala la Richmond ?
ReplyDeleteAlisema uamuzi wa kamati ya Bunge si wa chama chochote bali ni wa wabunge wote.
Hakuna mtu wa kujidai katika hili
Uwe unafuatilia mambo kabla ya kuchora