Ngoma yanogile Giraffe Oceanic view hotel siku ya Valentine
For Booking Call:022 2647873,
0752 460004 or
0756 450426
www.giraffeoceanviewhotel.com
Wadau mwakaribishwa
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
JAMANI CHONDE CHONDE...NAHITAJI MKATABA WA DHARURA KWA SIKU YA VALENTINE TUU.....just for show-off for the two of us....baada ya hapo tutaangalia kama tutacope.....ila kila mtu ajigaramie mwenyewe....NI WAZO LAKINI NIKO SERIOUS.
ReplyDeleteGiraffe wanajitahidi
ReplyDeletesana web yenu nzuri sana!!
Ila bei ya vyumba kubwa bana.... tutalala siku za Discount tuu
Michuzi niulizie nataka kujafungia harusi yangu hapo.
Mdau Ukerewe
Ah Jamani,mlalahoi hana chakula cha kuwalisha jamii na watoto wake,lakini nyie hamkosi hila za kuzisongesha desturi za wageni ambazo ni tangambili na mila zetu za kijadi!hizo za valentino kweli zinatuhusu nini sisi hapo kwetu?Labda tumeuzidi uharamu siku hizi na pesa tulizonazo ni 'easy come easy go'.Namuomba Mwenyezi Mungu Mtukufu atupe rehema na neema sisi vijizazi vya nyani!!!
ReplyDeleteIt would have been nice if the the couple in the Ad would show some love and happiness towards each other... to reflect the Valentine idea in a romantic way.
ReplyDelete