 mdau john mnamba wa zenj leo katupa ofa ya dina la mchana hapa mercury. mdau asante kwa ofa ile dah! ile pilipili sijui ya wapi, nikimuona mustafa hassanali ntamuuliza. pichani toka shoto ni mdau john, nanihii, athanas lukindo, bob sankofa (http://www.mwenyemacho.com/), carola kinasha na irene sanga. zidumu sauti za busara....

Duuh Michu hapo umeniacha hoi kusikia dina ya mchana kwani mimi nilikuwa najua kwamba mchana ni lanchi kumbe dina. ha ha ha kumbe mjini sio shule
ReplyDeleteKaka Mnamba mamboi yako naona si mchezo nasisi tunazingoja izo ofa
ReplyDeleteWaswahili Breakfirst inaweza kuliwa wakati wowote unapofunguwa kinywa, usishangae mtu mchana ikawa dina. Duniani tunaenda na sheria za british, bado sio za dini ukitizama sana kula sio lazima kwa UMA na KISU na silazima UMA uwe kushoto, tuwache kuiga wazungu sana kuona utamaduni wao ni waadabu kula UMA kushoto sawa na kula mkono wa KUSHOTO. Issa Michuzi tuwafundishe wa Africa wetu Utamaduni wetu kuvaa PETE harusini wanaharusi pia haiji kwani si ukristo wa uislamu wala dini yoyote ni mila za waengereza hizo. Enzi za Yesu hakuna aliyevalishana Pete. Je mnakubaliana na mie?.
ReplyDeleteMuhidin mwnzangu...najua kila kaburi lina adhabu yake...lakini,toba astaghfirulla!!!
ReplyDeletehuo ulevi jamani!
Mnaosema kuwa Zanzibar hakuuzwi ulevi, muulizeni Michuzi!
ReplyDeleteulevi gani huo dada karola!!achana na kilimanjaro bwana kunywa wine...uzuri wote huo na lichupa la kilimanjaro...
ReplyDeleteYes,Michuzi naona bwawa limeibuka hapo!!!
ReplyDeletekaka michuzi badilika tena hayo mambo ya ulevi hayakufai tena inakubidi utengeneze ahera yako kwa mambo mazuri
ReplyDelete