Home
Unlabelled
mnuso wa ubwete oslo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
haaa afathali mtufungulie disko nyie wadau wa oslo,manake hapa sikuhizi pameboreka sana,lakini jamani msiwaruhusu wala nduguzetu wakike wakipopo,, kule bongo tunawaia wauza uroda wataharibu,mdau wa tanga
ReplyDeletejamani hilo jina mbona kila kona lipo safari safari jaribuni kubuni majina mengine maana wabongo wakiwa na kitu au wakiwawanataka kufanya kitu lazima wagezane kama hilo disco la safari kila kona lipo sisi wakazi wa hapa tulikuwa tunaomba mtubadilishie hilo jina la sivyo hatutakuja ....
ReplyDeletekule undagiraundi mtalipuliwa nyie...hamjasikia sabasaba londoni!!!maskiniweeeeeeeeeeeeeee
ReplyDeleteWE MDAU NAMBA 2 WE UNAFATA DISCO AU JINA ACHA USHAMBA NENDA KAFURAHI ACHA MAJUNGU KAMA UNAJINA ZURI FUNGUA DISCO LAKO.
ReplyDeleteMDAU. UK