Kama wewe ni mpenzi wa matangazo ya redioni,hususani ya idhaa za kigeni,basi jina la Mohamed Abdulrahman(pichani)kamwe haliwezi kuwa geni kwako. Huyu ni mmojawapo kati ya watangazaji mahiri na wakongwe ambao nchi yetu ya Tanzania inajivunia. zaidi nenda www.bongocelebrity.com

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...