Bw Michuzi kwanza hongera sana kwa kazi yako nzuri unayoifanya kwenye hii Blog yako,nimekuwa touched sana na picha za shule za sekondari za hapo bongo, ombi langu kama wewe ama mdau yoyote mwenye picha za shule ya sekondari GALANOS iliyopo mjini Tanga maeneo ya Nguvumali aziweke bloguni, haswa bweni la Pamba ambalo niliishi miaka hiyo nilipokuwa napiga kitabu shuleni hapo. Kwa mdau yoyote aliyesoma hapo kati ya 1982-85 nitafurahi akiwasiliana nami kwa hii mail nungu64@yahoo.com.
Thanx
mdau toka Ughaibuni.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...