
jk akisikiliza nyimbo zilizokuwa zinaimbwa na vijana mbalimbali wakati wa mapokezi yake mkoani Dodoma leo mchana

jk akisalimiana na mbunge wa viti maalum Mchungaji Getrude Lwakatare aliyejumuika na wabunge wenzake kumpokea Rais Kikwete katika uwanja wa ndege Dodoma leo mchana

jk akihutubia mamia ya wakazi wa mji wa Dodoma waliojitokeza kumlaki kama Mwenyekiti mpya wa Umoja wa Afrika, AU,jana mchana mara tu alipowasili

jk akiwa amembeba mtoto mwenye umri wa miaka miwili Mwajuma Omar Janja muda mfupi baada ya Rais Kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma ambapo alipata mapokezi makubwa ya poingezi kama mwenye kiti mpya wa Umoja wa Afrika

jk akimsalimia mwenyekiti wa Wazee wa mkoa wa Dodoma Mzee Omar Selemani aliyejumika na wakazi wengine wa mkoa huo katika mapokezi ya Rais leo mchana katika uwanja wa ndege wa Dodoma.
Tunasubiri panga lako tu mzee. Huko Dom. Tuna tension kubwa sana kuona kitakachotokea!
ReplyDeleteYooooote haya yanini?na sisi tumasikini? kwani tupoteze muda wetu kwamambo kama haya ysio na msingi kaabisa kwani si ipo mobile ya raisi ninafikria sms zinatosha WAJOMBA
ReplyDeleteToo much waste of wananchi's time na kudanganyana tuuuuuuuuuu! upuuzi! green bullshit! do development stuff rather than these stupidity gatherings!! hatutaendelea ng'o, ni wao tuu watajenga na si kila m-bongoo
ReplyDeleteUpuuzi mtupu. Kuna issue muhimu ya ufisadi. Uwenyekiti wa AU utatusaidia vipi. Pumbavu.
ReplyDeleteHamna adabu na heshima hata kidogo, yaone kwanza ndivyo mlivyolelewa na wazee wenu kukosea watu wazima adabu. Hamuoni picha ya kikongwe hapo na bado mwamtukana. Mijitu gani nyie kila kitu mwataka mtakavyo nyie. Fanyeni heshima kwa watu ili nanyi muheshimiwa. Wewe unayedharau huo Uenyekiti wa AU hivi unawaona watu woote waliokaa huko Ethiopia na kumchagua kuwa Mwenyekiti hawana akili ila ni wewe tu ndiye mwenye akili. Mtazame amekosa hata adabu ya kuombea maji na ndivyo mnavyotreat familia zenu hivi hivi. You are so pathetic and desperates you cant even have a sense of respect to others! Yaone. We want this we want that everyday you are mourning about this or that. Get a life! Losers!
ReplyDeleteNgoja siku moja ntakukutanisha uso kwa uso na JK halafu umwambie hicho unachokisema huku kama una ubavu huo!!
Wewe unayemtukana Rais na Kiongozi wa Nchi naona umevuka mipaka unafikiri kujificha kuwa anony kutakusaidia? Ngoja uonane naye uso kwa uso halafu umwambie Pumbavu! Ujanja wako kwenye blogu tu huwezi hata kumbishia Mwenyekiti wako wa Serikali ya Mtaa huku ndio unajifanya kijogoo!
ReplyDeleteMtoto wake nini?? mbona kama photocopy hivyo vichwa.first lady wake up!!
ReplyDeleteHuyu na mheshimiwa rais-- aache masihara. Ashuhurikie taarifa ya Richmond---Safisha baraza lako lote--
ReplyDeleteWewe anony wa 2:30:00 am EAT; tembea nchi nyingine uone. Kwani Rais ni nani?? Ni binadamu na anweza kutukanwa. Acha ushamba wa kufikiri Rais ni muumba. Nipe e-mail yako nikutumie barua ya mwaliko uje States ushuhudie Bush anavyotukanwa akiharibu
ReplyDeleteHapo sijasema umemtukana Rais peke yake, nasema umewatukana na hao waliokuwa hapo wakimsubiria. Kwanza usinitishie na hiyo States yako, watoto wa States hawana adabu hata kwa wazazi waliowazaa sasa mie niige nini huko States. Kama wao wanamtukana Bush ndiyo system yao ya kuwatukana waliowazaa na wanaowalea itakuwa huyo Bush. Watoto wa Kiswahili wakifika umri hurudishwa Afrika na wazazi wao na Nairobi kupokelewa kwa viboko Airport na mauntie zao, kisa ukosefu wa adabu, na hizo antisocial behaviour zenu. Kwani ukitaka kutoa point lazima umtukane mtu ndio point yako ionekane kuwa nzuri? Kwanza mtu anayekimbilia kutukana matusi ni dalili ya kuishiwa na hoja ya msingi. Kama una hoja huna haja ya kutukana leta hoja yako hadharani na si matusi.
ReplyDeleteLione kwanza kwa ushamba wake linafikiri States ndio mwisho wa kila kitu duniani, na linaona ili mtu awe mtu lazima awe States hovyoo. Usitutishie watu wazima nyau!! Nenda kapike mswaki kwanza ndio uje kuongea na watu!!
Wewe anon wa 9:17 AM umtumie nani barua ya mwaliko wakati wewe mwenyewe unaishi kwa kujificha, huna makaratasi wala nini. Na siku wakiamua kuwavalia njuga wahamiaji haramu hutapona labda uwe umejiunga na chama cha makaratasi unasubiri kuhongwa makaratasi. Kwa taarifa yako sihitaji mwaliko wa mtu kwenda popote duniani. Nikijisikia kusafiri nakwenda kuomba visa ya visitor na ninaipata. Usijione kwa kuwa unafanya kazi ya kusafisha makaburi huko Marekani basi ndio umefika. Na kama anti social behaviour US watoto wote hawana adabu hata chembe. Msipende kuiga kila kitu cha mzungu eti kwa kuwa ni Mzungu, huko ni kutawaliwa kifikra. Zinduka heshima ni kitu cha bure haiuzwi wala hainunuliwi. Toa hoja na si matusi, kutoa matusi ni kuishiwa kichwani!
ReplyDeleteKwanini WANAIKANYAGA BENDERA???????????? TUNAJIWEKA CHINI WENYEWE
ReplyDeletemwenyekiti wa wazee, mzee Selemani usisasahau kumwambia rais awe ana towa social kwa wazee wa kibongo nao, kwa kifupi iwe kama ulaya.ili nami nikizeeka iwe imeshapitisha niwe nayakandamiza mashilingi ya uzeeni.
ReplyDeleteAhaaaa!!Wanawane, nani alisema fimbo ya mbali haiuwi nyoka? Nimefuatilia Malumbano ya hoja hapo juu kuhusu Vijana na heshima kwa wakubwa zao,na Watoto wa Ki-bongo utawajua tu!! Mzazi kakoroma na kuchimba mkwara basi Watoto wenyewe Kimyaa!!!
ReplyDeleteInatia moyo sana unapoona wazazi wakitilia mkazo juu ya Maadili/desturi za Mwafrika.
**Hoja hujibiwa kwa hoja na si Matusi**