Home
Unlabelled
nani zaidi?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sasa haja ndogo na kubwa vipi!!!hebu tujulisheni???
ReplyDeleteMichu umemsahau yule muuza kahawa wa Kigogo naona naye ni namba tatu.. mtafute utundike picha yake nayeye.. (dRU)
ReplyDeletewajuu ni pedeje wa kweli lakini wa chini ni askari anazuga.FBI wa bongo bwana noma kwelikweli!!!
ReplyDeleteHawa lazima watakuwa wamechanganyikiwa!utavaaje namna hiyo bwana,mavazi gani hayo...nadhani wanaukichaa fulani kwenye vichwa vyao..
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteNaomba kuuliza. Unakumbuka yule jamaa ambaye siku za sikukuu anavaa viatu raisi oni, kofia na madubwasha mengine kama ya miaka ya 70. Daily News walikuwa wanapenda sana kumpiga picha siku hizo. Jina lake nimesahau. Kama unayo picha yake kwenye archive zako tuwekee.
ukimpiga mbele na tai hivi anaonekana nafuu...ukimpiga nyuma ndo utaona ukweli kama anapendeza au ni zile zile za kunyea humohumo
ReplyDeletehuyo wa juu ni mavazi ya kweli. na huyo number tuu alikuwa anaenda kupafomu ze comedy mitaa ya kati - Ben86
ReplyDeletehiyo #2 inanikumbusha sana rapa wa marehemu pepe kale bileku mpasi naona hii imetulia
ReplyDeletepedege ndio nini jamani? mbona mnatuacha hoi wengine
ReplyDeleteUnataka tulipigie kura ili liwe vazi la Taifa nini?
ReplyDeleteWendaazimu hao siwafagilii naona kama wamekosa la kufanya katika kujitafutia umaarufu
kwanini watu nyingine nasema hiyo sio mafasi kwani wanatembea uchi???? tuache wivu usio na maana we anon wa Thursday, February 28, 2008 7:19:00 PM EAT
ReplyDeleteNilisoma mahali pedeje ni neno la asili ya kifaransa PDG yaani President Directeur Generale (President Director General). Its the French term for CEO (cheif executive officer).Kwa hiyo pedejee ni mtu bosi bosi
ReplyDeleteAnon feb 29, 9:19 umenena vema na kwa kuongezea kwa faida ya aliyeuliza kwa matamshi kiswahili yanasomeka pedejyee wazairwaa huwa wanatamka vema zaidi kwa ajili ya lafudhi zao, pia ni jina la mapapa wenye kujipenda na watanashati kujipamba na mipete mikubwakubwa na macheni ikiwa ni gold au mchovyo, na kukata vema nywele zao kwa mtindo wa boks na miwani kwa pembeni,baadhi yao huwa wanapesa kikweli ila wengine fix tu wapate mradi wao. nimesomeka?
ReplyDeletemichuzi naomba kuuliza hivi hawa ni wacheza shoo ya bongo man nini? maana kama wametokea congo......
ReplyDeletekaka Michu unatuacha hoi, huyo wa kurasini naona anaongoza maana mpaka viatu ni bab kubwa
ReplyDeletepedejee wa kurasini
ReplyDeletenaona hao wamepiga kinyume cha kk aka kata ku**u.
ReplyDeleteMichuzi ,
ReplyDeleteIt's over, It's over( For those who listen to Jim Rome will understand what a'm talking about )...Padejee from Kurasini rocks ! .
ISSA JAMAA KABILA HII SIO MCHEZO UNAJUA KUPATA "..IDENTITE NI NOMA.." WATU WANA WORK HARD KIASI CHAO..
ReplyDeletePedegee, Richmond,EPA, Balali,BOT wanapeta mitaani bila tabu kwa kifupi....Maigizo bado yanaendelea
ReplyDeleteNIMEGUNDUA...hawa jamaa mashati yao mafupi sana, hayashuki chini ya vifua vyao. yaani wanatembea matumbo wazi ndio maana wamevaa suluwale za ngongoti ili kufidia ufupi wa mashati. waambieni wavae bila kuchomekea ndoo mtacheka zaidi
ReplyDeleteHuyo wa Kurasini ni kiboko ya majarida. Kwanza tuu kiatu yake ni kama cha Abunuwasi. Halafu anavyokata mtaa anaonekana kama yuko busy sna na upedejee wake.
ReplyDelete